habari wana jf:
naomba kusaidiwa juu ya tatizo alilo nalo mke wangu.....mda ulipowadia wa kushika mimba mimi na mke wangu tulikutana kimwili......baada ya mda dalili zote za kuonyesha kuwa ni mjamzito zilianza kujitokeza ikiwa ni pamoja na hedhi kutoweka nk....yaani dalili zote za kuonyesha kuwa yu mjamzito zilijitokeza.
sasa alipokwenda hospitali kupima mimba haikuonekana.....dokta akashauri arudi baada ya wiki moja....amerudi hosp akapimwa tena pia ikaonekana mimba hakuna.....akapimwa kwa ultra sound..pia mimba haikuonekana. mpka sasa mke wangu hara raha na mimi pia najiuliza kuna nini kimetokea..vipimo vya hosp vinaonyesha hakuna mimba lakini yeye anahisi ana mimba maana dalili zote za kuwa yu mjamzito anazipata......ndugu zangu hili tatizo linaweza kutokana na nini?
naombeni ushauri kwa wale wataalam wa magonjwa ya wanawake au mwenye uelewa juu ya hili swala

Ameacha kuona siku zake kwa mda gani? Manake kuna rafiki yangu aliwahi kuwa na tatzo km hilo, mimba haionekani ila akashauriwa asubiri mpaka miezi mi3 na alipofanya vpimo ilionekana, kuhisi kuwa mjamzito yawezekana ni hali ambayo imejijenga kisaikolojia kwa mkeo coz ni kitu alchokuwa anakihitaji, kama hajatimiza 3months aendelee kusubiri then akitimiza hyo miezi mwende mkafanye tena vipimo. Pole kwa matatizo.
Bro angalia hapo kuwa makini.
Umesema dalili zote alikuwa nazo? kama kutapika kula udongo? au kula ndimu?
Basi yawezekana mimba imeteleza imetoka. Jipange upya.
mpka leo dalili zipo.......ila mimbahaionekani, no mkuu kama ingetoka si tungejua kaka....
hahahaha...........we acha tu kaka.....kule mpaka nimetoka kwa mda sikuwa na shida na mtu..basi tu hata sijui ni nini hiki
habari wana jf:
naomba kusaidiwa juu ya tatizo alilo nalo mke wangu.....mda ulipowadia wa kushika mimba mimi na mke wangu tulikutana kimwili......baada ya mda dalili zote za kuonyesha kuwa ni mjamzito zilianza kujitokeza ikiwa ni pamoja na hedhi kutoweka nk....yaani dalili zote za kuonyesha kuwa yu mjamzito zilijitokeza.
sasa alipokwenda hospitali kupima mimba haikuonekana.....dokta akashauri arudi baada ya wiki moja....amerudi hosp akapimwa tena pia ikaonekana mimba hakuna.....akapimwa kwa ultra sound..pia mimba haikuonekana. mpka sasa mke wangu hara raha na mimi pia najiuliza kuna nini kimetokea..vipimo vya hosp vinaonyesha hakuna mimba lakini yeye anahisi ana mimba maana dalili zote za kuwa yu mjamzito anazipata......ndugu zangu hili tatizo linaweza kutokana na nini?
naombeni ushauri kwa wale wataalam wa magonjwa ya wanawake au mwenye uelewa juu ya hili swala
..Pole sana mkuu, kwa maelezo yako inaonekana mmekuwa mkitafuta mtoto kwa muda sasa bila mafanikio, na hali hiyo imeanza kumsononesha mkeo (hili ni kawaida kutokea kwa kina mama). Kufikia hatua ya kutegeshea siku ya ovulation ndio mkutane kimwili ndio inanifanya nifikiri hivi.
Sasa kisaikolojia anaweza kuwa amejiandaa MNO kuwa mjamzito na hii ikaathiri akili yake kwa kiwango cha kutookuona/kukata hedhi. Usidharau nguvu kubwa ya vile tunavyofikiria; zipo simulizi za watu waliopooza mkono siku ya mtihani sababu tu waliamini hawawezi kufanya mtihani huo!
kama niko sahihi kuwa mnahangaika kwa muda sasa kupata mtoto; nakushauri yafuatayo:-
- take it easy, go slow. Hofu huharibu mambo zaidi, na hata kuvuruga ovulatory cycle(mzunguko wa hedhi)
- Fikirieni kufanya infertility work up....vipimo kadhaa vya kubaini tatizo (muhimu: wote mshiriki sio kusema mwenye tatizo ni mke/ au mume tu)
- Ondoeni hiyo ratiba ya kukutana siku ya ovulation; afterall mmefanya utafiti kuibaini hiyo siku exactly ni ipi? achaneni na theory za barabarani za siku ya 14 it do vary sometimes
- Furahieni ndoa yenu
- Unaweza ukani PM pia.....
habari wana jf:
naomba kusaidiwa juu ya tatizo alilo nalo mke wangu.....mda ulipowadia wa kushika mimba mimi na mke wangu tulikutana kimwili......baada ya mda dalili zote za kuonyesha kuwa ni mjamzito zilianza kujitokeza ikiwa ni pamoja na hedhi kutoweka nk....yaani dalili zote za kuonyesha kuwa yu mjamzito zilijitokeza.
sasa alipokwenda hospitali kupima mimba haikuonekana.....dokta akashauri arudi baada ya wiki moja....amerudi hosp akapimwa tena pia ikaonekana mimba hakuna.....akapimwa kwa ultra sound..pia mimba haikuonekana. mpka sasa mke wangu hara raha na mimi pia najiuliza kuna nini kimetokea..vipimo vya hosp vinaonyesha hakuna mimba lakini yeye anahisi ana mimba maana dalili zote za kuwa yu mjamzito anazipata......ndugu zangu hili tatizo linaweza kutokana na nini?
naombeni ushauri kwa wale wataalam wa magonjwa ya wanawake au mwenye uelewa juu ya hili swala
sasa ni mwezi wa pili mkuu huu unaenda