Kachelenga
Member
- Sep 11, 2012
- 26
- 6
pole sana mkuu! kisheria, ndoa aina zote zina uzito sawa katika macho ya sheria! ninamaanisha, endapo mtafikia hatua za VALIDITY, ANNULMENT, DEVORCE nk. hata hivyo, nakushauri usifike huko mapema! anza kutafuta chanzo cha tatizo, jiangalie matendo na mawasiliano yako kwa wanawake wengine kama hayajakiuka kanuni za ndoa; kama upo clean, basi tumia uwezo wako kumchunguza mwenza wako ili ujue kama kuna ushawishi wowote toka nje ya mahusiano yenu!
ikiwa bado utapata ugumu, jaribu kushirikisha watu wenu wa karibu kujua tatizo! ikishindikana hapo na ukaridhia kwenda mahakamani, basi itakubidi uanze kwenda bodi ya usuluhishi wa ndoa (MRB). baada ya huko ndipo mahakama inaweza kutoa talaka na kuivunjilia mbali kabisa ndoa yenu!
pia ni vema kukumbuka kuwa "distance kati yako na my wife wako" inaweza kuwa adui wa ndoa, manake huenda you ndoa yenu haijawa "consumated" ipasavyo!
nb: zingatia na maoni ya watu wengine huku moyo wako ukikuongoza!
Nimeipenda hii maana watu wanaanzisha sred za uzandiki tu. Mtu unajipinda kutoa ushauri kumbe anacheka pembeni. Hii haikubalikiKwa hiyo yule mke uliyekuwa unamtafuta JF ulitaka awe mke wa pili? Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
Kwa hiyo yule mke uliyekuwa unamtafuta JF ulitaka awe mke wa pili? Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
Kwa hiyo yule mke uliyekuwa unamtafuta JF ulitaka awe mke wa pili? Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
ukiona hivyo uliperform chini ya kiwango!naomba ushauri wana jamii,mimi nimeoa mke miezi 7 iliyopita,ndoa ya kiserikali.mimi na mke wangu tunaishi mikoa tofauti kutokana na mazingira ya kikazi,ndoa nilikwenda kufunga nae ktk mkoa anaefanyia kazi yeye,baada ya kufunga nae ndoa ya kiserikali,mm nililudi ktk mkoa ninaoishi na kumuacha yeye huko ktk mkoa anakofanyia kazi ambako ndiko tulipofunga hiyo ndoa ya kiserikali.cha ajabu baada ya kufika ktk mkoa ninaoishi!mke wangu hakakata mawasiliano mimi na hukutaka tena kuwasiliana nami,nikimpigia simu hapokei,sms hazijibu,baadae niliamua kumtumia sms za kumlaumu,hizo alizijibu kwa malumbano,baada ya muda,akaniambia hanitaki,nisiwasiliane nae tena!nilipomwambia ww ni mke wangu,alisema ndoa haitambui!.nilipoendelea kumfuatilia,alidai tuvunje ndoa na akaniambia mm niende mahakamani nikatengue ndoa,mm nilikataa na kumwambia yeye ambae haitaki ndoa ndio aende mahakamani,alikataa na kudai niachane nae na nisimfuatefuate.je wana jamii ktk hali kama hii nifanyenini jamani wenzangu na mke nampenda au kama itashindikana kuwa nae taratibu zipi za kufuata??nina maana naomba kujua msaada wowote wa kisheria wa kufuata.
Naomba ushauri wana jamii,mimi nimeoa mke miezi 7 iliyopita,ndoa ya kiserikali.Mimi na mke wangu tunaishi mikoa tofauti kutokana na mazingira ya kikazi,ndoa nilikwenda kufunga nae ktk mkoa anaefanyia kazi yeye,Baada ya kufunga nae ndoa ya KISERIKALI,mm nililudi ktk mkoa ninaoishi na kumuacha yeye huko ktk mkoa anakofanyia kazi ambako ndiko tulipofunga hiyo ndoa ya Kiserikali.Cha ajabu baada ya kufika ktk mkoa ninaoishi!mke wangu hakakata mawasiliano mimi na hukutaka tena kuwasiliana nami,nikimpigia simu hapokei,sms hazijibu,baadae niliamua kumtumia sms za kumlaumu,hizo alizijibu kwa malumbano,Baada ya muda,akaniambia hanitaki,nisiwasiliane nae tena!nilipomwambia ww ni mke wangu,alisema ndoa haitambui!.Nilipoendelea kumfuatilia,alidai tuvunje ndoa na akaniambia mm niende mahakamani nikatengue ndoa,mm nilikataa na kumwambia yeye ambae haitaki ndoa ndio aende mahakamani,alikataa na kudai niachane nae na nisimfuatefuate.je wana jamii ktk hali kama hii nifanyenini jamani wenzangu na mke nampenda au kama itashindikana kuwa nae taratibu zipi za kufuata??nina maana naomba kujua msaada wowote wa kisheria wa kufuata.