Naomba ushauri, mke kanitoroka

Sasa kwanini usiende uko uko kanisani kwake ukamwambie unataka kufunga ndoa? Hili tatizo unaweza kulitatua kabisa! Panga tuu tarehe ya ndoa!

Usitoe mwanya wa watu wa kanisani kwake wakaanza kuzini nae kama wewe kuwa makini……
 
Basi Wanaume tulivyo na ujinga utaanza kumbembeleza arudi.
Shukuru Mungu amekuacha ukiwa na nguvu,bila shake angekuja kukuacha ukiwa mgonjwa kitandani.

Usimwamini Mwanamke kamwe,ishi nao kwa machale.
 
Ah kumbe kunae sababu.. basi tatua, kachoka kuzini mwenzako. Unataka afe akiwa mdhambi mfululu? Pigeni ndoa chap hapo mke arudi ndani, ulisafiri kikazi siku 30 uko na perdiem ya ujazo. Fanya ma process hapo, mke arudi.
 
ACHANA NAYE HUYO
 
Ukishaelewa mahusiano huwa hayalazimishwi huwezi kuteseka kamwe maisha yako yote duniani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…