Naomba Ushauri: Mdogo wangu aende Advanced au akasome Certificate?

DEAL88

JF-Expert Member
Apr 9, 2016
875
1,097
Poleni na majukumu katika ujenzi wa taifa. Nina mdogo wangu wa kike kamaliza form four 2019 na matokeo yake yako kama ifuatavyo.

CIV-C ,HIST-C ,GEO- C ,BIBLE- C ,KISW-C, ENGL-C, PHY-D, CHEM-D ,BIOS-C & MATH-D
DIVISION TWO POINT 20

Sasa shida inakuja ndoto zake alipenda kwenda kusomea udaktari lakini baada ya matokeo hayo kutoka kaka zake tunampa hongera lakini dogo kawa frustrated kwamba ndoto zake zimekufa kulingana na ambavyo hajafanya vizuri masomo ya Sayansi.

Lakini mimi nilishauri akasome HGL Advanced endapo atapata selection shule ya serikali nzuri au asipopata nimekwisha mchukulia fomu private lakini kakubali kishingo upande japo mimi najua watu wengi huwa wana ndoto katika kusoma lakini mwisho wake huenda kusoma vitu tofauti.

Hebu ushauri wenu chanya, je aende Advanced au akasome Certificate ya kile ambacho ni ndoto yake?

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DEAL88,
Siku zote katika maisha, ishi na wazo hili kichwani:

Ukifanya unachokipenda basi tayari umefaulu.

Muulizeni dogo tena kama anapenda kwenda wapi.
Kama bado anataka Afya, basi akaanze Certificate na Diploma.

Huko Advance kama hajapapenda, msije kushangaa akifeli!
 
Ushauri mzuri sana huu watoto wa mwisho kuzaliwa tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asome certificate mkuu.
Achana na advance.
Hapa Kuna dogo kapata A zote naona anafanyiwa mpango akapige diploma ubeberuni.
 
Kama pesa ipo, aende tu certificate ya anachokipenda. Miaka 2 ijayo Wakati wenzie watakapokuwa wanawza kwenda kuanza cheti au diploma kulingana na matokeo yao ya form six. Yeye atakuwa tayari anaujuzi na exposure katka fani.
Maaana Hizi PCB, PCM... Kwa advance ukikosea kidogo hukawiii kutoka na double F au triple F.
AENDE CERTIFICATE TU. ILA HAKIKISHA CHUO KIWE NA MAADILI MZURI. MAANA KAMA WAKIKE UANGALIZI KIPAO MBELE

Kuna kitu umekisema hapo na mm nakiwaza na isitoshe kasoma hizi St.kunani primary hadi o-level ambapo maadili na uangalizi ulikuwa wa hali ya juu sasa hivi vyuo vingine fungulia mbwa ndo nawaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom