Ghaosal salum
Member
- Oct 22, 2022
- 5
- 4
[emoji2][emoji2]Huko kote ni kubahatisha tu na sababu kubwa ni kwa sababu inaelekea hupendi UALIMU...
Pamoja na hayo, bado ningekushauri kasome Master of Science in Physics kisha nenda kafundishe wakati ukitafuta scholarship ili ukkapige PhD, na utakuja nishukuru baadae.
NB: Ukishapiga MSc. in Physics itakupa confidence ya kusoma vitakataka vingine bila woga, kama Computer Science, Mathematics, Eletronics, n.k.... hiyo ndo dunia ijayo!
Tafuta kazi mkuu ,iyo master unasoma aside ukiwa kaziniHamjamb Wadau.
Mimi nimemaliza bachelor of chemistry and physics with education. nataka kusoma master of medical physics. Je, kwa Tanzania inatambulika course hii? Na je nikisoma Ina opportunity zipi?
Sio Computer Science... namshauri akasome Master of Science in Physics... kwahiyo bado utabaki kwenye njia ile ile ya ualimu!![emoji2][emoji2]
Lakini kama akisoma masters ya Physics au computer science then akaenda kufndisha mbona kama haitomsaidia and atakuwa kapoteza muda maana n atakuwa katoka nje ya Education au mfafanulie vizuri opportunity zilizopo kwenye masters ya physics au masters ya computer science
Asante kwa ushaurSio Computer Science... namshauri akasome Master of Science in Physics... kwahiyo bado utabaki kwenye njia ile ile ya ualimu!!
Na akishachukua MSc. in Physics na kuendelea na teaching, hii itampa urahisi wa kutafuta scholarship kwa ajili ya Ph.D.
Akishakuwa na PhD yake, bado chance yake kubwa ni kuwa kule kule kwenye teaching field lakini haitakuwa ualimu anaojaribu kuukwepa sasa bali atakuwa na sifa tosha kabisa za kuwa University Lecturer!
Hayo masuala ya computer science niliyosema ni supplementary tu!
Kama una PhD yako in Physics, huwezi kupata taabu kusoma Bachelor in Electronics or telecommunication or Computer Science kutegemea Ph.D umesoma nini!
Huwezi tena kuona taabu kusoma Bacheor au hata Master in Mathematics kwa sababu upo kwenye learning fields!
Mkuu hvi unacho mshauri unakielewa Masters haikufanyi kubadili kada kwenye utumishi wa Umma naongea from experience usipoteze muda kwenda kusoma masters in Physics kama G.P.A yako n below 3.5 cuz haitakuwa msaada kwako kama lengo n kuukimbia ualimuSio Computer Science... namshauri akasome Master of Science in Physics... kwahiyo bado utabaki kwenye njia ile ile ya ualimu!!
Na akishachukua MSc. in Physics na kuendelea na teaching, hii itampa urahisi wa kutafuta scholarship kwa ajili ya Ph.D.
Akishakuwa na PhD yake, bado chance yake kubwa ni kuwa kule kule kwenye teaching field lakini haitakuwa ualimu anaojaribu kuukwepa sasa bali atakuwa na sifa tosha kabisa za kuwa University Lecturer!
Hayo masuala ya computer science niliyosema ni supplementary tu!
Kama una PhD yako in Physics, huwezi kupata taabu kusoma Bachelor in Electronics or telecommunication or Computer Science kutegemea Ph.D umesoma nini!
Huwezi tena kuona taabu kusoma Bacheor au hata Master in Mathematics kwa sababu upo kwenye learning fields!
Na wewe umesoma na kuelewa nilichoandika?!Mkuu hvi unacho mshauri unakielewa Masters haikufanyi kubadili kada kwenye utumishi wa Umma naongea from experience usipoteze muda kwenda kusoma masters in Physics kama G.P.A yako n below 3.5 cuz haitakuwa msaada kwako kama lengo n kuukimbia ualimu
Nini hapo hakieleweki hadi uone nimemwambia anaweza kubadili kada?!Akishakuwa na PhD yake, bado chance yake kubwa ni kuwa kule kule kwenye teaching field
Kipi kigumu hapo kuelewa?!lakini haitakuwa ualimu anaojaribu kuukwepa sasa bali atakuwa na sifa tosha kabisa za kuwa University Lecturer!
Duh, we jamaa bhana!!Wewe omba Dagree ya kitu chochote unachotaka kwa kutumia cheti cha form six uanze upya achana na mawazo ya kusoma hadi PHD nje ya education field huku ukiwa na taaluma ya Ualimu.
Uwe unaelewa kinachoandikwa!Hiki kimewacost wengi wakiamini ukisoma bachelor with education n rahisi sana kuukimbia ualimu kuliko aliesoma bachelor in Education kwa ground mambo sio mepesi
Duh! We jamaa bhana...Hutaki ualimu and pesa na muda kama unavyo Anza bachelor nyingne upya kabisa
Niliuliza hivi kwa sababu niliskiliza kipindi kilichokua kinahusiana na uongezaji mishahara. Watu wengi waliuliza kwanini wengine wana master hawajaongezewa mishahara? Wakasemaje kusoma master ni specialization na fani ambayo mtu anaweza ku specialize ni ualim na udactari tuu. Na meangalia course tofauti nikaiona hii ya applied physics ambayo unadeal na mambo ya vifaa kama ultrasound, x-ray na mengine. Ndo kwa hapa kwetu sijajua kama inatambulika au laa. Ndo naomba msaada anaeifahamu kiundani zaidi anijuzeHamjamb Wadau.
Mimi nimemaliza bachelor of chemistry and physics with education. nataka kusoma master of medical physics. Je, kwa Tanzania inatambulika course hii? Na je nikisoma Ina opportunity zipi?
Mkuu wewe n mwalimu ? Au unaelewa chochote kuhusu taratbu za kiutumishi katika kada ya Elimu ? Maaana nisje nkawa na bishana na form six leaverNa wewe umesoma na kuelewa nilichoandika?!
Nimesema seems anataka kuukimbia UALIMU, na ndipo nikasema, akasome Master kisha arudi KUFUNDISHA!!
Sasa nimeshamwambia arudi KUFUNDISHA, hiyo hoja yako ya kwamba hawezi kubadili kada inatoka wapi?!
Kisha nikaendelea kusema, akirudi KUFUNDISHA, inaweza kumrahisishia kupata SCHOLARSHIP ya kusoma PhD, na kisha nikasema:-
Nini hapo hakieleweki hadi uone nimemwambia anaweza kubadili kada?!
Lakini ingawaje ni kada ile ile, nika-conclude
Kipi kigumu hapo kuelewa?!
Au unataka kusema huko kwenye utumishi wa umma kuna wenye PhD adimu kama za Physics or Maths wanaofundisha primary schools au hata secondary schoolS?
Duh, we jamaa bhana!!
Uwe unaelewa kinachoandikwa!
Duh! We jamaa bhana...
Kwahiyo kwa akili yako ukishasoma Ualimu basi huna nafasi yoyote ya kufanya kazi zingine zaidi ya Ualimu?!
Nyie ndo wale mnaodhani ukisoma Bachelor in Accountancy basi utafanya kazi benki!!
Sijafika hata hicho Kidato cha VI kwahiyo nitajizuia kuwauliza nyie wasomi embarassing questions!Mkuu wewe n mwalimu ? Au unaelewa chochote kuhusu taratbu za kiutumishi katika kada ya Elimu ? Maaana nisje nkawa na bishana na form six leaver
Dah mkuu nikuombe radhi aiseee hadi hapo nmekupata vyema[emoji120][emoji122][emoji122] Nikiendelea kubishana na huu ushahidi ntakuwa sio muungwana aiseeSijafika hata hicho Kidato cha VI kwahiyo nitajizuia kuwauliza nyie wasomi embarassing questions!
Lakini kwa kutumia huo usomi wakoi, hebu tafakari haya:-
View attachment 2403358
Hao ni baadhi tu ya Lecturers wa UDSM, Idara ya Kemia...
Wangapi hapo wametokea kwenye education?!
View attachment 2403365
Hao hapo juu ni baadhi ya kutoka Idara ya Hisabati, UDSM... ni wangapi hapo wana bachelor ya education?!
Hapa chini ni kutoka Idara ya Fizikia
View attachment 2403377
Sasa nilichosema mimi ni nini kama sio hicho nilichokuonesha hapo juu?!
Na fanya kautafiti mwenyewe ufahamu huyo Mkuu wa Idara ya Fizikia, Dr. Nuru Mlyuka, bachelor na master kasoma nini!!
Btw, kusoma hujui, ina maana hata picha ukutani huzioni?! JPM alikuwa Mwalimu wa Chem & Maths lakini akaenda kusoma Master and Ph.D In Chemistry!!
Hivi kwa akili yako unaamini kabisa hata kama asingeingia kwenye siasa bado angeendelea kufundisha sekondari na PhD yake?!