Umejitahidi maelezo yako poa ila katika mpangilio ndo umekosea kidogo, kwa kawaida ni
1. Self introduction ambayo mwishoni ndo utaweka contacts zako pamoja address
2. Education back ground
3. Working experience
4. Referees
Cv ziko za muundo tofaut tofaut ila kwa level yako nadhan arrangement niliyoonyesha apo juu inatosha kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.