Naomba ushauri kwa ufaulu huu

Rajesi

Member
Apr 18, 2017
29
13
Kwa ufaulu huu niliopata naweza Ku apply chuo cha nn naombeni msaada wenu maana nataka ni reset mwakani
Hist-c
Geog-d
Civ-d
Kisw-d
Eng-d
Bio-d
Math-f

Kwa masomo ya science sikufanya Ila nilikuwa nimesaini kuyafanya je
Endapo mwakan nikireset nitakuw na uwezo wa kuyafanya au ndo itakuw imeishia hapo kuyasoma tena
 
mbona hauelewi unataka nini?

Kureset au kwenda chuo?
 
Kwa ufaulu huu niliopata naweza Ku apply chuo cha nn naombeni msaada wenu maana nataka ni reset mwakani
Hist-c
Geog-d
Civ-d
Kisw-d
Eng-d
Bio-d
Math-f

Kwa masomo ya science sikufanya Ila nilikuwa nimesaini kuyafanya je
Endapo mwakan nikireset nitakuw na uwezo wa kuyafanya au ndo itakuw imeishia hapo kuyasoma tena
Km unajiamini na utakuwa full committed kufaulu angalau kiwango cha C2 za combination reseat kuhakikisha kwamba hotopoteza mda mwaka wako wa kureseat bila ivo itakuwa hasara kufanya mtihan tena ukakosa CC ushaur wangu km fee ya chuo inapatkana nenda zako certificate vigezo vyako vinatosheleza kwa baadhi ya course at least D4 unapata course yeyote ukitoa afya na engineering tafuta guidebook ya NACTE tafuta chuo na kitu unachokitaka ukasome utafute kibarua ufanye tafuta mtu unaemuamini akusaidie mawazo.
 
Ata ayo yanamtosha
 
Back
Top Bottom