Pole kwa kuchelewa kuapply: Ilimridi tu una D 4, kuna vyuo vingi sana kupitia NACTE ambapo unaweza soma Certificate au Diploma katika vyuo hivyo kama vile Community Development,Public Administration,Administraion of local governmnts e.t.c.
Ila kwa sasa NACTE wamefunga kupokea maombi,watafungua tena na kupokea maombi mwishoni mwa mwezi huu wa sita au wiki ya kwanza ya mwezi wa saba(kwamujibu wa tangazo la NACTE). Hivyo jitahidi uombe muda huo.Kwakufanya hivyo unaweza kuendelea mpaka utafika Chuo kikuu.