BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,243
Baada ya kutafuta pesa sasa nmeona kuwa hatua ifuatayo ni kujenga
Sema tatizo linakuja kwenye jinsi ya kufanya ujenzi.....i mean hatua maana naamini tunajua ujenzi wetu sisi watu wa chini ni kwa hatua
Ombi langu ni kuwa naomba kupata ushauri kutoka kwa watu ambao wana ufaham kuhusu kujenga kwa hatua
Nyumba ninayohitaji kuijenga ni
Vyumba 2 moja master
Choo ndan
Sittng rum
Valanda
Niliwaza kuwa nanunua cement na mbao niweke ndan taratibu ili iwe rahisi zaidi
Naombeni ushauri wenu
Natanguliza shukran
Sent using Jamii Forums mobile app