Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 1,002
- 1,004
wakati naanza vaa miwani ya kutokuona mbali hili ilikua changamoto kuusahihi na kama ndio hivyo hii picha ya mabonde itakoma baada ya muda gani.
Pole man!Wakuu habari zenu, nimekuwa nikisumbuliwa na kichwa at least once and at most twice a week.
Baada ya kuona hilo tatizo nikaamua kujisogeza hospital kwa ajili ya vipimo.
Baada ya kufika hospitali na kufanyiwa vipimo ikaonekana sina ugonjwa wowote ule.
Ikanibidi niende clinic ya macho na hapo ndipo ikabinika nina tatizo la macho na lenyewe ndio hepelekea kichwa kuuma.
Sasa baada ya vipimo nikashuriwa kutumia miwani.
Sasa hapa kwenye miwani ndipo tatizo hasa lilipo maana baada ya vipimo na kupewa miwani naona nikiivaa naona mabonde kwenye vitu.
Vitu ambavyo vimenyooka nikivaa miwani naona vimepinda( vinakuwa na bonde kwa ndani).
Sasa swali langu, je kuona haya mabonde ni sahihi na kama ndio hivyo hii picha ya mabonde itakoma baada ya muda gani.
Kama sio sahihi jee kuendelea kutumia miwani ni kuzidi kuyaharibu macho yangu?
Mwisho kwa madaktari ni nini ushauri wenu juu yangu?
Acha upotoshaji. Maombi ndiyo nini. Mwambie aende hosp ya utaalamu wa macho. Toka lini maombi yakawa tibaPole man!
2012 nilipata shida hii nikaenda CCBRT,nilikua naona giza Aiseh yaani giza!!
SASA waliponipima hawakuona chochote nikaandikiwa miwani fulani hivi,nilishindwa kutumia HADI leo ipo na ulikula 60000/= wakati naenda CCBRT nafsi inakataa nisiende!nilipo maliza UE tu nikaenda field huko nyumbani nikaanza kula mboga majani na lita moja maziwa fresh kwa siku!baadae halo ikawa nzuri japo Mchungaji MMOJA nilimshirikisha na kumpa sadaka Aiseh walioniombea SANA HUWA nahisi ni maombi yao pia yalisaidia!!
Juzi nilikunywa chai ya sukari nikaihisi ile hali,HUWA natumia asali mbichi!
Nyama nyekundu plus sukari hizi zenye phosphate nazo zinaua macho!
Jitahidi kwenye diet na maombi mkuu!!miwani hapana mkuu takuumiza zaidi!!!
Asante mkuu, nipo Dodoma hivyo nitajaribu kwenda na hosipitali nyingine nione.Rudi kwa daktari, hizo ni issue sensitive consultation yake based kwenye vipimo, hapa hakuna vipimo.
Kama upo Dar jaribu kwenda international eye hospital ya Waturuki au Dr Argaways eye hospital karibu na mtaa ya Morocco.
Bima ya NHIF wanapokea.
Huu ya waturuki wanatumia bima ya NHIFRudi kwa daktari, hizo ni issue sensitive consultation yake based kwenye vipimo, hapa hakuna vipimo.
Kama upo Dar jaribu kwenda international eye hospital ya Waturuki au Dr Argaways eye hospital karibu na mtaa ya Morocco.
Bima ya NHIF wanapokea.
Wanatumia bima kwa check up, kama ni case ya oparesheni bima ina cover kiasi na wewe inabidi uchangie cash na hata Miwani ni hivyohivyo.Huu ya waturuki wanatumia bima ya NHIF
Mkuu mimi mbali na karibu kote naona pasipo shida yoyote, ila nikikaa mda mrefu kwenye computer ndio nahisi maumivu ya kichwa.wakata naanza vaa miwani ya kutokuona mbali hili ilikua changamoto kuu
nusura nivunje mguu, maana unaona bonde unaruka kumbe hakuna kitu [emoji28]
iliacha yenyewe baadae huko
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]huwezi kujua labda dokta kaamua kuyamalizia
CCBRT ni hospital yamacho lakini haikunisaidia mkuu!!Acha upotoshaji. Maombi ndiyo nini. Mwambie aende hosp ya utaalamu wa macho. Toka lini maombi yakawa tiba
Kumbe tuko wengi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]wakata naanza vaa miwani ya kutokuona mbali hili ilikua changamoto kuu
nusura nivunje mguu, maana unaona bonde unaruka kumbe hakuna kitu [emoji28]
iliacha yenyewe baadae huko
Kama uko dodoma nenda mvumi mission ama hapo mjini nenda jengo la Mac Kay.Asante mkuu, nipo Dodoma hivyo nitajaribu kwenda na hosipitali nyingine nione.
Wanapokea bima?Kama uko dodoma nenda mvumi mission ama hapo mjini nenda jengo la Mac Kay.
Wanapokea ila inategemea na aina ya bima yako, kama ni NHIF kuna gharama unaweza ongezea kutokana na matibabu yako.Wanapokea bima?
tatizo lako umekwenda kwa wauza miwani badala ya kwenda kwa madaktari wa macho.Wakuu habari zenu, nimekuwa nikisumbuliwa na kichwa at least once and at most twice a week.
Baada ya kuona hilo tatizo nikaamua kujisogeza hospital kwa ajili ya vipimo.
Baada ya kufika hospitali na kufanyiwa vipimo ikaonekana sina ugonjwa wowote ule.
Ikanibidi niende clinic ya macho na hapo ndipo ikabinika nina tatizo la macho na lenyewe ndio hepelekea kichwa kuuma.
Sasa baada ya vipimo nikashuriwa kutumia miwani.
Sasa hapa kwenye miwani ndipo tatizo hasa lilipo maana baada ya vipimo na kupewa miwani naona nikiivaa naona mabonde kwenye vitu.
Vitu ambavyo vimenyooka nikivaa miwani naona vimepinda( vinakuwa na bonde kwa ndani).
Sasa swali langu, je kuona haya mabonde ni sahihi na kama ndio hivyo hii picha ya mabonde itakoma baada ya muda gani.
Kama sio sahihi jee kuendelea kutumia miwani ni kuzidi kuyaharibu macho yangu?
Mwisho kwa madaktari ni nini ushauri wenu juu yangu?
Sawa mkuuWanapokea ila inategemea na aina ya bima yako, kama ni NHIF kuna gharama unaweza ongezea kutokana na matibabu yako.
Mkuu nimeenda hosipitali na sio kwa wauza miwani.tatizo lako umekwenda kwa wauza miwani badala ya kwend akwa madaktari wa macho.