Mimi na mpenzi wangu tumefahamiana tangia tukiwa wa dogo maana Sisi ni family frieds ila namzidi kwa miaka 4 na kwa sasa ana soma Diploma mwaka wa katika chuo cha Utumishi wa umma.
Uhusiano wetu ulianza kwa yeye mwenyewe kuniambia mara kadhaa kua mama ake anapenda mm niolewe na yeye na kiukweli mama yake ananichangamkia sana ila hiyo kwangu haikuwa kigezo cha kumpenda. Baada ya miaka kama 4 hivi tangua anambie hiyo kauli nkajikuta nimempenda ila sasa nakumbana na changamoto zifuatazo:
1. Mpenzi wangu ni mrembo sana na yuko sexy kiasi kwamba mpka najistukia na nahisi kila mtu amemtolea macho so inamfanya anakua over confidence over me
2.Bado yuko chuo ila mimi nafanya kazi so mazingira ya chuo nahisi sio rafiki kwa mahusiano yetu.
3.Anamatumizi makubwa sana ya pesa yaani mda wowote anapiga simu ya kuomba pesa.
4.Mrembo sana na anajitambua kua ni mrembo so naweza nkampigia simu mida flan asipokee halafu akantumia sms mme wangu najikuta nashusha hasira na nashindwa hata kumkemea kwa tabia hiyo
5.Kaisha ntambulisha kwa ndugu zake kua mm ni mme wake mtarajiwa na nkiongea na ndugu zake wananambia kua ananipenda sana japo mimi sina imani kabisa kama napendwa.
6.Anaweza akanipa ahadi halafu aitokee na asipokee simu wala kujibu sms na kudai kua simu yake ili divertiwa na mpenzi wake wa zamani
Mwishk kabisa naombeni ushauri wenu kuhusu huyu mpenzi wangu kama ananipenda kweli au ananitumia na nifanyeje maana nampenda
, umri wake ni miaka 23
-hii hadithi ni ya kweli au umetunga?
-ana umri wa miaka 23 je wewe una umri gani?
-umeshamtafuna?...namaanisha ushamtia dushelele lako kunako papuchi yako?
-mama yako anampenda awe mke wako..je wewe unampenda awe mke wako?
-ana-penda pesa au ana matumizi makubwa ya pesa ... je wewe kipato chako kikoje?
-unasema ni mwanamke mrembo na anajitambua kuwa mrembo...unajuwa kuwa kuna gharama za kummiliki farasi mweupe?...mwanamke mrembo na anayejitambua kuwa ni mrembo kwa asilimia kubwa huwa anakumbana na vishawishi vya watu wenye pesa zao..je uko tayari kuishi kwa ushindani na upinzani toka kwa wenzako wenye visu vikali?
-ushawahi kujiuliza kwanini wanawake wazuri na hasa ma-miss huwa hawaolewi?
-ushwawhi kuchunguza kuwa kila mwanaume mwenye akili timamu hajaoa mwanamke mrembo sana bali wa kawaida tuu na anachepuka na hao warembo sana.
-umejuaje kuwa huyo mwanamke anakupenda?...au kwavile anakuita mume wake?..au kwavile ndugu zake wanakuaminisha kuwa dada yao anakupenda?
-kwanini hujamnunulia simu mkeo kiasi kwamba simu yake inakuwa diverted na huyo esx-boyfiend wake? hujui kuwa anatumia simu aliyonunuliwa na ex wake?
-jibu maswali magumu hapo juu ndio niweze kukushauri zaidi.....tafakari chukua hatua.