Naomba ushauri kuhusu masuala ya mimba

euca

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
3,959
Reaction score
4,419
Habari za usiku wana jukwaa ,ni kwamba nina mpenzi ambaye tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka kadhaa hali ya kuwa kila MTU anaishi kivyake yaani yeye anaishi kwao.Mwaka Jana mwezi wa 11 mwishoni tulikutana kimwili kuanzia siku hyo mpakA Leo hatukuwahi kupga tena show.Sasa juzi kaenda hospital I kakutwa na mimba ya miezi minne ,then ananipgia CMU na kuniambia kuwa ana mimba yangu sasa wataalam hii kitu inawezekana kweli maana miezi ming hatujakutana.
 
Piga hesabu mwezi wa 11 mpk leo ni miezi mingapi acha ubashite ww
 
Roho mtakatifu at work. . Lea tu
 
Ukome kufanya ngono kavukavu..matangazo yote haya hamuyaoni nyie lakini?
 
Hujajua hata mimba inatungwaje unafanya ngono nzembe. Hebu Jifunze kuhusu magonjwa ya zinaa kwanza manake huyo mwanamke halawii kusema kakutunukia moja
 
Kumbuka vizuri then njoo na mrejesho. Ila kama kweli basi umesaidiwa
 
DU MWANAUME KAMA HUNA MSISITIZO KWENYE MATUMIZI YA CONDOM NI WANAWAKE WACHACHE MNO WATAKUONYESHA MSIMAMO,nakumbuka mwaka 2014 mwanamke usiku wa saa nane anataka tuGEGEDANE bila CONDOM nikagoma akaanza kulia nikamwambia BORA tulale
 
Nowdays hususani kwa Tanzania sidhani kama kuna kipimo kinaonyesha umri wa mimba(miezi tumboni), mara nyingi wanatumia menstrual history na fundal grip, kama kakupigia simu kuna uwezekano ni yako mkuu.
 
labda km sperms alizihifadhi kwenye friji kwanza ndo ntakubali mimba ni yako
 
Inawezekana anakujaribu utafanya Nini..Yani maamuzi utayochukua.
Coz Mpaka miezi minne inafika yeye hajui kua kapata hyo mimba??Labda ka mtu wako Ni under 18..
Nendeni wote hospital.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…