Naomba ushauri kuhusu kuku wa mayai (layers)

Joined
Aug 10, 2011
Posts
72
Reaction score
14
Wapendwa!
Natarajia kuanza project ya kuku wa mayai,awali nilishauriwa kuagiza vifaranga Uganda lakini inasemekana kwa sasa Serikali hairuhusu kabisa kuingiza vifaranga kutoka nje.
Hivyo basi naomba mzoefu wa hawa kuku anielekeze ni wapi pa kupata mbegu nzuri ndani ya Tanzania.
Asanteni sana,Mungu aendelee kuwabariki.
 
Mkuu kampuni nzuri tz kwa layers ilikua ni cpf ila hawatoi tena layers' agiza silverland wapo iringa ila watakua na ofice zao hata sehem nyingine intechick usijaribu utalia
 
Kuku bora agiza kwa Patricia mbeya songwe
 
unataka kuanza na kuku wangapi na ushewahi kufuga hata kuku 50?
 
S
Mkuu kampuni nzuri tz kwa layers ilikua ni cpf ila hawatoi tena layers' agiza silverland wapo iringa ila watakua na ofice zao hata sehem nyingine intechick usijaribu utalia
hida Ya interchick ni nini mkuu make ndo nimewaingiza kwa sasa baada ya napoko kunipa hasara ya ajabu kuku 1000 walikufa na ndo walikuwa wameanza kudondosha mayai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom