hahaahahhahahaha umemaliza kakaZingatia ushauri wa kwenye hizo comments za juu.
kitaulo kila sku unashnda kulr kwny uzi wa "kula 2nda kimasihara" imekuwaje ukapata mda wa kukaa iffisini???Mkuu usijaribu kabisa kufanya hiyo bahati nasibu..utajuta...kama biashara inafanya vizuri ni bora ukatumia faida kufungua biashara nyingine...Mkopo haujawahi kumuacha mtu salama....Mimi ni mwajiriwa wa benki so nafahamu haya mambo............
Ovaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa