profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,596
- 3,441
Wanasheria mmekuwa cheap sana, yani unatoa ushauri mtandaoni bure, alafu tukiwadai kodi mnasema hakuna kazi?Jibu ni ndiyo, inawezekana kumwachia kampuni huyo shareholder mwenzako. Unamuuzia yeye au kampuni share zote unazomiliki na unaondolewa kwenye ukurugenzi, kwa muda atabaki mwenyewe peke yake na baadaye atatafuta mtu mwingine wa kumiliki naye kampuni kwa kuwa ni takwa la kisheria kampuni kuwa na watu wawili na kuendelea. Nitafute PM ikiwa mpo tayari kufanya kazi hiyo.
Ndugu wanajukwaa naomba ushauri wa kisheria,mimi na rafiki yangu tulianzisha kampuni/bussiness,ya electrical work,share ni 50/50% kila mmoja,lakini tulitumia vyeti vyangu vya technical.
Tuna miaka mitatu,,tuna TIN number ya kampuni,kila mmoja wetu TIN number yake imegeuzwa ya biashara,tumekata leseni,lakini mpaka sasa hatujaingiza hata shilingi moja, kila mtu yuko bize na mambo yake.
Leo nimempigia simu kuwa tukafunge kampuni,ananiambia kuwa twende TRA kama kuna madeni yeye ata clear,alafu nimwachie yeye kampuni,je inawezekana?
Wakati brela tunatambulika wote,document zote zinaonyesha tuko shared,nikimwachia yeye,siku asipolipa kodi kwa mamilion,na mimi si ntatafutwa?naomba msaada namna ya kuifunga au kujitoa au kuifuta kisheria...
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha roho mbaya wewe bibi alaaa.Wanasheria mmekuwa cheap sana, yani unatoa ushauri mtandaoni bure, alafu tukiwadai kodi mnasema hakuna kazi?
bush lawyers!Acha roho mbaya wewe bibi alaaa.
Paralegal hawezi kumdharau lawyer wewe mama. Watu wanaomba kufahamishwa kuhusu jambo mtu akishauri unalalamika. Una roho mbaya sana wewe.bush lawyers!
Ndio maana mnadharauliwa hata na makarani wa mahakama, sijui mmesoma vyuo gani vya miaka 3
Paralegal hawezi kumdharau lawyer wewe mama. Watu wanaomba kufahamishwa kuhusu jambo mtu akishauri unalalamika. Una roho mbaya sana wewe.
Ina maana hapa JF mtu akiomba ushauri kuhusu ugonjwa fulani akatokea doctor au mtu anaefahamu kuhusu hilo jambo basi ni vibaya? Acha ujinga.
Hahahaha. Mazaa mimi sipo huko kabisa. Mimi sio msukuma ni mtu wa kanda maalumu ya Kaskazini. Mpaka sasa sina mke bado chalii mdogo sana ila nipo conscious sana tofauti na umri wangu. Pia mdingi wangu hana mke zaidi ya mmoja na mimi ndio mkidi wa kwanza kwetu. Thamani ya mama naijua na kukuita wewe mama sio dharau bali ni kweli wewe ni mama ndio sababu ya mimi kukuita hivyo labda kama unataka kuficha jinsia yako.PARALEGAL MAMBO YA MAKAMPUNI WAPI NA WAPI?
unavyoniita "wewe mama" inaonyesha wewe ni msukuma na ni mtu umetoka jamii inayodharau sana wanawake, na inaonywesha wewe ni mtoto wa 5 kwa mke wa nne kati ya wake 7 wa baba yako.
inaonyesha wewe umelelewa na baba na hujui dhamani ya mama, wewe unadharau sana wanawake na mkeo ndio maana anakudharau anatombesha hata kwa mangi muuza genge.
PARA LEGAL si kutoa ushauri wa makampuni wala kisheria tena kwenye mitandao kijinga namna hiii, mtaweza sababisha mtu apate tax liability ambayo hakutarajia.
unakuwa mpumbavu kama wasanii wa bongo fleva wanao shauri watu wasio na corona wavae mask.
shithole
PARALEGAL MAMBO YA MAKAMPUNI WAPI NA WAPI?
unavyoniita "wewe mama" inaonyesha wewe ni msukuma na ni mtu umetoka jamii inayodharau sana wanawake, na inaonywesha wewe ni mtoto wa 5 kwa mke wa nne kati ya wake 7 wa baba yako.
inaonyesha wewe umelelewa na baba na hujui dhamani ya mama, wewe unadharau sana wanawake na mkeo ndio maana anakudharau anatombesha hata kwa mangi muuza genge.
PARA LEGAL si kutoa ushauri wa makampuni wala kisheria tena kwenye mitandao kijinga namna hiii, mtaweza sababisha mtu apate tax liability ambayo hakutarajia.
unakuwa mpumbavu kama wasanii wa bongo fleva wanao shauri watu wasio na corona wavae mask.
shithole
WASUKUMA mnanza kukana , haya ngoja nikuite MCHAGGA maana ndio kabilapekee wako proud kujitabulisha mbele za watu
Acha kutesekaWanasheria mmekuwa cheap sana, yani unatoa ushauri mtandaoni bure, alafu tukiwadai kodi mnasema hakuna kazi?
? Punguza dharau kua gentleman so unakua kama wakina mama wa kwenye vigodoro kutaja makabira ya watu kwa kuya kashifu ni ukiukwaji wa nidhamWASUKUMA mnanza kukana , haya ngoja nikuite MCHAGGA maana ndio kabilapekee wako proud kujitabulisha mbele za watu
unadharau akina mama wa vigodoro ,? Punguza dharau kua gentleman so unakua kama wakina mama wa kwenye vigodoro kutaja makabira ya watu kwa kuya kashifu ni ukiukwaji wa nidham
ooh kama ni chalii wa chuga , matejoo, sokoni one, daraja mbili nakuelewa.Hahahaha. Mazaa mimi sipo huko kabisa. Mimi sio msukuma ni mtu wa kanda maalumu ya Kaskazini. Mpaka sasa sina mke bado chalii mdogo sana ila nipo conscious sana tofauti na umri wangu. Pia mdingi wangu hana mke zaidi ya mmoja na mimi ndio mkidi wa kwanza kwetu. Thamani ya mama naijua na kukuita wewe mama sio dharau bali ni kweli wewe ni mama ndio sababu ya mimi kukuita hivyo labda kama unataka kuficha jinsia yako.
Mimi sio lawyer wala sio paralegal ila niko multidimensional sana, wengi wananiita polymathematic au homo universalis.
Anyways, paralegal ( karani) hawezi kuwa sawa laywer aliesoma sheria chuo kikuu na kusoma law school. Usidharau professional za watu kisa ukarani wako hapo mahakamani.
Kuhusu "shithole" usiende huko maana naweza kupata life ban hapa JF ukasababisha nianze kutumia ID mpya. Huko kwenye matusi, kejeli nimefuzu vizuri kwa degree ya mtaa mazaa so kausha.
kila mtu ana kazi yake ya kuajiriwa,zinatubana sana,tunakata leseni na ina expire bila kuingiza hata shilingi,kumbuka tin zetu ni za biashara,kodi inaongezeka kila mwaka..Usiondoke mazima kwenye hiyo kampuni, baki na hata 20% hizo nyingine muachie alipe madeni, itakupunguzia liability, na mkuu miaka yote 3, mnatafuta kazi ama mnapiga kazi kila mtu kivyake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasheria mmekuwa cheap sana, yani unatoa ushauri mtandaoni bure, alafu tukiwadai kodi mnasema hakuna kazi?
ungekuwa na corona,ulivyo na roho mbaya,ungekuwa unapaka mate milangoni ili kuwaambukiza wengine..bush lawyers!
Ndio maana mnadharauliwa hata na makarani wa mahakama, sijui mmesoma vyuo gani vya miaka 3
Unaelekezwa msaada unapopatikana.kwani kama hutaki kutoa msaada,unatafuta nini kwenye hii,,law forum,,?
Sent using Jamii Forums mobile app