Ushauli wangu unaweza kukukwaza lakini ni wa msaada.
1. Soma udereva VETA mpaka uhakikishe kua wewe ni dereva na jitahidi kupata leseni ya udereva daraja la juu
2. Nenda pale NIT mabibo soma Advanced driver course (grade two),piga na grade one kisha malizia kusoma Senior driver course.
3. Ambatanisha na cheti yako hiyo ya secondary education tafuta ajira kwenye mashirika.utaanza kiugumu lakini mwisho wa siku utapasua maisha na utaenda sambamba kimaisha na wasomi wengine
4. Najua unaweza ona nimekupa kazi ya kudharauliwa kuitwa dereva lakini nakushauli iepuke aibu kwenye maisha na utakuja kuniambia
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA