Kidume la Mbozi
Member
- Feb 2, 2013
- 13
- 11
Wataalamu wa kilimo cha Matunda naomba kujua ni miti ipi ya matunda ambayo hata nikipanda karibu na Fence haitaharibu ukuta kwa maana ya mizizi yake kusambaa sana kwenda kupasua ukuta
UshashauriWataalamu wa kilimo cha Matunda naomba kujua ni miti ipi ya matunda ambayo hata nikipanda karibu na Fence haitaharibu ukuta kwa maana ya mizizi yake kusambaa sana kwenda kupasua ukuta