Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,275
- 2,976
Asante Kaka..One of my best brand is HONDA ,ni gari za kimaskini zinahimili sana mikiki , pia zina coftable ,na stability kubwa plees hiyo chuma usiichie kabisa
Naskia Nairobi vipuri ni vingi Sana, vipi hata kwa Nairobi nitapata shida kwasababu ya left hand?Left hand cars kuna baadhi ya vipuri viko tofauti na right hand ones. Itakupa shida kwenye kuvipata kwa wakati
Kama upo vizuri financially kwenye kuagiza vipuri chukua hiyo chuma
Jilidhishe kama zipo hapo Kenya then chukua chuma.Naskia Nairobi vipuri ni vingi Sana, vipi hata kwa Nairobi nitapata shida kwasababu ya left hand?
Spare zipo za kutosha sanaJilidhishe kama zipo hapo Kenya then chukua chuma.
Na si Honda tu, gari yoyote ya left hand huwa ni jipu mzee hapa Tz.
Asante mshana, niliiua nasubiri neno lako kwa hamu sanaIchukue bila kusita ..ni mnyama hiyo mashine
Hapana sio kweli LH or RH ni steering position tuu, dashboard the rest ni the sameNaskia Nairobi vipuri ni vingi Sana, vipi hata kwa Nairobi nitapata shida kwasababu ya left hand?
Sorry kwa kuchelewa kidogoAsante mshana, niliiua nasubiri neno lako kwa hamu sana
Nenda ilala mtaa wa shaurimoyo huwezi kukosa.Natafuta control box Honda CR-V Rd 5 0719805676