Mm ni mwanaume Wa umri Wa miaka 27 sasa pia ni mkunga /nurse ktk ngazi ya diploma ,
Ninae mpenz ambae pia ni mkunga japo bado anasoma mdada huyu tokea tumekua ktk mahusiano yapata miaka 2 na 1/2 mambo yalikua sawa ila tu nilivyokua mbali nae kikazi amebadilika mwenendo
Tulikua tukijuliana hali, kusalimiana pia kutiana moyo ktk magum hivo basi mtu huyo saiz amebadilika saaana na Nina mpenda saana lakin yy saiz naona ule upendo Wang hauthamin tena ,
Nimejikuta namuwazia saana mpaka nafikilia kutenda vibaya ili tu nae apate maumivu kama niyapatayo sasa lakin nafsi inajirudi na ndio maana nimeamua kuomba msaada wako Wa mawazo chanya yatakayo nijenga na kuniondoa ktk hali hii jaman plz plz
USHAURI wako ni tiba tosha ya kutibu tatizo lilo nikuta coz siku wahi fikiria yaweza tokea kama niyaonayo leo
Kama ulikuwa unampenda sana ulikuwa wapi kumuoa hiyo miaka mi 2 na 1/2? Wacha kumpotezea muda mtt wa watu.. Hivi sasa keshapata muoaji hana tena time na mzinguaji!
acha kujipendekeza kwake, kwani umezaliwa naye..!!?!
na wewe mkaushie, no simu no message , au ndio mara ya kwanza unaingia kwenye mahusiano nini..!!?!
Hayo mambo yapo tu, ukiona hivyo ujue labda yuko bize na masomo au bize na mtu mwingine, sasa wewe kausha huku ukimsoma huku ukiwa na fikra za kumwacha.,.,
Wanaume huu ni muda wa kuacha UJINGA ..
Maana haiwezekani dume zima unalia mapenzi mapenzi mapenzi. ..
Badilika fanya mambo mengine tafuta pesa ,tafuna papuchi za kutosha muda ukifika oa utulie