Mambo vipi Wana Jf. Hawa loan board juzi kati hapa walitupa ujumbe kwenye account zetu ikiwa umepatia kuomba mkopo au umekosea.
Kwa walio kosea walihitajika kufanya marekebisho, lakin hizo account zimefungwa kiasi kwamba zinakuzuia kufanya marekebisho. wadau naomba ushauri kuhusu hii kitu. Kwan hutokea miaka.
Yote jeeh na wahusika hufanyaje? Maana hapa tarehe ya mwisho kufanya marekebisho ni tarehe 11.
Nani alikwambia mwisho wa kufanya marekebisho ni tarehe 11?
Binafsi sijakuelewa
Me nilivoelewa hapo kwamba maombi yako hayajakua verified bado..
Sasa ni wapi hapo wameandika kuwa umepatia au umekosea maombi!?
Au mimi ndo sijui kusoma!?[emoji30]