Habari zenu wana JF, mimi ni kijana wa kiume, kwenye nyumba nnayoishi sasa ambayo nimehamia mwezi wa nane mwaka huu mara kwa mara nimekuwa nawaona N'ge na mpaka sasa nimeshawaua wanne wakubwa na sio vitoto.
Sasa naomba ushauri hivi inawezekana wanatokea wapi na dawa ya kuwatokomeza ni ipi ili wapotee kabisa coz nyumba kwa ndani ni safi na hakuna matakataka wala mabaki ya chakula coz bado naishi peke yangu na wala sio mtu wa kupika mara kwa mara na huko niliko hama wala nilikuwa siwaoni i.e. sio kwamba nilihama nao.
Natanguliza shukrani kwa ushauri wenu....