Naomba ushauri kuhusu Course ya Metallurgy and Mineral Processing Engineering

Safi! Faculty nzuri sana, utachenjua dhahabu, shaba, chuma, aluminium.....nk, kipi kitakushinda ulimwengu huu? Soko lako small scale mpaka mega scale MUNGU akupe nini weye!
 
Ila watu wanabeba mchanga huko wanapeleka ulaya asije akachekecha tope.
 
Hakuna faculty ya hicho ulichosema hapo juu
Nina uakika huyu kijana wa mwendo kasi hawezi kukuelewa, ...........eti
faculty ya Metallurgy and Mineral Processing Engineering?????????????? Daah hawa vijana
 
Kabisaaa...si unaona hata uhandishi waje kama wa mtoto ambaye ndo anajifunza kuongea
 
Back
Top Bottom