Naomba ushauri kuhusu chuo cha Manyame Airbase, Zimbabwe

Naomba ushauri kuhusu chuo cha Manyame Airbase, Zimbabwe

Ed5

Member
Joined
Aug 17, 2017
Posts
45
Reaction score
30
Kama kuna member yoyote anaweza kunipa ushauri kuhusu hiki chuo cha ufundi ndege kipo zimbabwe naomba please nataka kuapply pale nimpeleke mwanangu
 
Nenda chuoni ukatazame mazingira, ongea na wana chuo watakupa in and out

itakupa mwangaza zaidi
 
  • Thanks
Reactions: Ed5
Nenda chuoni ukatazame mazingira, ongea na wana chuo watakupa in and out

itakupa mwangaza zaidi
Nimejalibu kugoogle naona siwaelewi ndugu nikaona nishikikishe members maana hapa naona ntapata majibu ya ukweli kuliko hata kwenda.Kipo Harare Zimbabwe
 
Jaribu hapo nit ipo hiyo fani ya ndege pia
Ipo kweli ila ukisoma hapa bongo ukitoka nje haina nguvu ila zimbabwe na south Africa unafanya kazi popote pale
 
Back
Top Bottom