Biashara ya ng'ombe maana yake ya ni kuuza maziwa yake,ngozi,nyama yake au?Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi nimpambanaji mdogo baada ya kuingia porini kutafuta mtaji wa mil.4 nikaingia mjini kufanya ziara yangu niliifanya kanda ya ziwa kuna biashara niliipenda kuifanya ya ng’ombe nilikuwa Naomba ushauri wa changamoto za biashara hii naitaji nianze na mil.2 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefikiria njia ya kununua kwenye mazizi ya wafugaji na kwenda kuwauza mnadaniBiashara ya ng'ombe maana yake ya ni kuuza maziwa yake,ngozi,nyama yake au?
Soko liko dar seriously? Acha kukariri soko ni popote ata mnadani unanunua hapo hapo na kuuza muhimu uwahi na ujue bidhaa ama unanunua mnada mwingine na kuuzia mnada mwingine ama huo huo siku nyingine au unanunua kwa mfugaji kisha unaenda uza kwa mnadani biashara nzuri ,ila soko zuri liko Dar,so itakuladhimu uwasafirishe hadi dar.
2m haitoshi mkuu
umesoma vizuri nilichoandika au umekurupuka?Soko liko dar seriously? Acha kukariri soko ni popote ata mnadani unanunua hapo hapo na kuuza muhimu uwahi na ujue bidhaa ama unanunua mnada mwingine na kuuzia mnada mwingine ama huo huo siku nyingine au unanunua kwa mfugaji kisha unaenda uza kwa mnada
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila biashara na changamoto zake kuna madalali kila mnada.
Yaani anaingia mnadani hana kitu chochote ni mdomo wake tu ndo unamfanya atoke na hela ya maana na wanajuana hawa madalali kinoma.
Ukienda na mzigo wanaambizana huyo ni mgeni vipi Nani anachukua hiyo ng'ombe wanapanga ni fulani, basi wataanza kujipitisha na sera zao plus kejeri kama ni ng'ombe wa kisasa Kama Boran wanene na wanatumbo kubwa waanaza kukejeri hana nyama huyu ng'ombe amejaza mautumbo, kama ni nyankole wenye mapembe makubwa utasikia hana nyama huyu ana mapembe tu.
Daah jamaa wanazingua Kama una roho nyepesi unarudi na mzigo wako home.
Kikubwa tembelea minada ujifunze Kwanza namna ya kubagain maana kule wanatumia uzoefu hakuna mzani kusema utakuwa unampima.
Wamekariri maisha ni Dar hawatembei kujua fursa zilipoSoko liko dar seriously? Acha kukariri soko ni popote ata mnadani unanunua hapo hapo na kuuza muhimu uwahi na ujue bidhaa ama unanunua mnada mwingine na kuuzia mnada mwingine ama huo huo siku nyingine au unanunua kwa mfugaji kisha unaenda uza kwa mnada
Namimi naipendelea hii biashara aseeKama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi nimpambanaji mdogo baada ya kuingia porini kutafuta mtaji wa mil.4 nikaingia mjini kufanya ziara yangu; niliifanya Kanda ya Ziwa, kuna biashara niliipenda kuifanya, ya ng’ombe.
Nilikuwa naomba ushauri wa changamoto za biashara hii naitaji nianze na mil 2 tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningepata mwenyeji Wa bunda anaifahimishe kuhusu mnada Wa ng'ombe Wa hapo ingekua vema I'll tufanye hii biashara.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi nimpambanaji mdogo baada ya kuingia porini kutafuta mtaji wa mil.4 nikaingia mjini kufanya ziara yangu; niliifanya Kanda ya Ziwa, kuna biashara niliipenda kuifanya, ya ng’ombe.
Nilikuwa naomba ushauri wa changamoto za biashara hii naitaji nianze na mil 2 tu.
Sent using Jamii Forums mobile app