TheTrf Member Joined Sep 24, 2021 Posts 10 Reaction score 9 Sep 26, 2021 #1 Wakuu hivi wapi naweza nikaajili gari aina ya fuso 210 fighter kwajili ya kujihakikishia kipato mwisho wa mwezi? Trip town zinataka upepo mda mwingine
Wakuu hivi wapi naweza nikaajili gari aina ya fuso 210 fighter kwajili ya kujihakikishia kipato mwisho wa mwezi? Trip town zinataka upepo mda mwingine
Miti7 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2021 Posts 1,378 Reaction score 2,483 Oct 20, 2021 #2 Ni Tani ngapi? Nahitaji moja ya mkataba niambie kwa siku au kwa mwezi unataka shilingi ngapi
TheTrf Member Joined Sep 24, 2021 Posts 10 Reaction score 9 Oct 20, 2021 Thread starter #3 Miti7 said: Ni Tani ngapi? Nahitaji moja ya mkataba niambie kwa siku au kwa mwezi unataka shilingi ngapi Click to expand... 3.5 tons, 210 fighter , 0673608867
Miti7 said: Ni Tani ngapi? Nahitaji moja ya mkataba niambie kwa siku au kwa mwezi unataka shilingi ngapi Click to expand... 3.5 tons, 210 fighter , 0673608867