Nadhani unaweza kuanza hivi:-
Mauzo
- Tafuta fremu nzuri iliyopo sehemu nzuri, labda 200,000/= kwa mwezi
- Nunua mizani labda 150,000/=
- Tafuta gogo 50,000/=
- Mapanga,shoka 30,000/=
- Friza 500,000/=
- TIN
- Leseni
Bei ya machinjioni huwa kuna tofauti kama ya 1000 na ile bei ya kuuza rejareja dukani,inategemea na mkoa n.k
- weka malengo ya kuleta kilo 50 kwa siku ili usilaze nyama
- Tafuta wateja wako wa kudumu,angalau 10 n.k wanaweza kuwa mama ntilie au wachoma mishikaki
- Kilo zinazobakia utawauzia wateja ambao sio wakudumu,wapita njia
Kama utapata faida ya 1000 kwa kila kilo, inamaana kwa kilo 50 kwa siku, utauza 50,000/=
50,000 x 30days = 1,500,000/=
Mapato na matumizi
Faida utakayobaki nayo ni Sh. 850,000/=
- Mapato 1,500,000/=
- Toa kodi 200,000/=, utabaki na 1,300,000
- Toa muuzaji 200,000/= baki 1,100,000
- Toa usafiri kwa mwezi 100,000, baki 1,000,000
- Toa umeme na maji 150,000; unabaki na 850,000
Ukiwa na magoli ya namna hiyo 20; utakuwa na mapato ya sh. 17,000,000/=
Mkuu,ingia vitani ukawe tajiri
Hesabu rahisi adi raha [emoji28][emoji28]Nadhani unaweza kuanza hivi:-
- Tafuta fremu nzuri iliyopo sehemu nzuri, labda 200,000/= kwa mwezi
- Nunua mizani labda 150,000/=
- Tafuta gogo 50,000/=
- Mapanga,shoka 30,000/=
Watu wanapiga hizo hela, ndio maana hawataki kuchangia kwenye huu uzi,ili msijue siri ya mafanikio yaoHesabu rahisi adi raha [emoji28][emoji28]
Naomba kupata ABCs za biashara ya bucha. Kuanzia vifaa vinavyohitajika gharama zake, vibali na upatikanaji wake.
Ikipendeza zaidi, basi na bei ya nyama machinjioni na makadirio ya faida kwa kilo.[emoji2957] Na taarifa zote muhimu zinazohitajika.
Natanguliza shukrani.
Cost ya biashara mpaka isimame inaweza kua bei gan?Nadhani unaweza kuanza hivi:-
Mauzo
- Tafuta fremu nzuri iliyopo sehemu nzuri, labda 200,000/= kwa mwezi
- Nunua mizani labda 150,000/=
- Tafuta gogo 50,000/=
- Mapanga,shoka 30,000/=
- Friza 500,000/=
- TIN
- Leseni
Bei ya machinjioni huwa kuna tofauti kama ya 1000 na ile bei ya kuuza rejareja dukani,inategemea na mkoa n.k
- weka malengo ya kuleta kilo 50 kwa siku ili usilaze nyama
- Tafuta wateja wako wa kudumu,angalau 10 n.k wanaweza kuwa mama ntilie au wachoma mishikaki
- Kilo zinazobakia utawauzia wateja ambao sio wakudumu,wapita njia
Kama utapata faida ya 1000 kwa kila kilo, inamaana kwa kilo 50 kwa siku, utauza 50,000/=
50,000 x 30days = 1,500,000/=
Mapato na matumizi
Faida utakayobaki nayo ni Sh. 850,000/=
- Mapato 1,500,000/=
- Toa kodi 200,000/=, utabaki na 1,300,000
- Toa muuzaji 200,000/= baki 1,100,000
- Toa usafiri kwa mwezi 100,000, baki 1,000,000
- Toa umeme na maji 150,000; unabaki na 850,000
Ukiwa na magoli ya namna hiyo 20; utakuwa na mapato ya sh. 17,000,000/=
Mkuu,ingia vitani ukawe tajiri
Mkuu Biashara yoyote inalipa kwa kusoma mchanganuo wake mfano hapo juu.
Cha msingi Usijiulize Sana fuata mawazo yako. akili ya mapambano hupatikana uwanja wa Vita.
Kigogo na shoka aweke lakini anunue machine ile ya kukatia nyama, sijui m1.5 hivi, kigogo wakikukuta nacho watakupiga hela.Nadhani unaweza kuanza hivi:-
Mauzo
- Tafuta fremu nzuri iliyopo sehemu nzuri, labda 200,000/= kwa mwezi
- Nunua mizani labda 150,000/=
- Tafuta gogo 50,000/=
- Mapanga,shoka 30,000/=
- Friza 500,000/=
- TIN
- Leseni
Bei ya machinjioni huwa kuna tofauti kama ya 1000 na ile bei ya kuuza rejareja dukani,inategemea na mkoa n.k
- weka malengo ya kuleta kilo 50 kwa siku ili usilaze nyama
- Tafuta wateja wako wa kudumu,angalau 10 n.k wanaweza kuwa mama ntilie au wachoma mishikaki
- Kilo zinazobakia utawauzia wateja ambao sio wakudumu,wapita njia
Kama utapata faida ya 1000 kwa kila kilo, inamaana kwa kilo 50 kwa siku, utauza 50,000/=
50,000 x 30days = 1,500,000/=
Mapato na matumizi
Faida utakayobaki nayo ni Sh. 850,000/=
- Mapato 1,500,000/=
- Toa kodi 200,000/=, utabaki na 1,300,000
- Toa muuzaji 200,000/= baki 1,100,000
- Toa usafiri kwa mwezi 100,000, baki 1,000,000
- Toa umeme na maji 150,000; unabaki na 850,000
Ukiwa na magoli ya namna hiyo 20; utakuwa na mapato ya sh. 17,000,000/=
Mkuu,ingia vitani ukawe tajiri
Kwenye biashara, muhimu mzunguko uwe mzuri tu.Nimepata mwanga wa kutosha kuanza nao, na kwa kuwatoa hofu wengine mtaji sio mkubwa sana hapa…. imagine unawekeza milioni TATU tu kwa biashara itakayoweza kukupa FAIDA ya takribani milioni MOJA kwa MWEZI.
Just IMAGINE!
Na hapo kama lengo ni kuuza kiasi cha kuisha siku MOJA, basi unaweza kuanza bila FRIZA.
I’m going IN.[emoji1477]
Asisahau rushwa ndogo ndogo kwa Afisa Afya maana haziepukiki.Hesabu rahisi adi raha [emoji28][emoji28]
Kwahiyo mkuu tusiombe ushauri na uzoefu?
Taarifa ni muhimu ili kutoa ukungu, kisha unazama ndichi kwa ajili ya upembuzi yakinifu…. na ushauri ni rahisi kupata JF kuliko site ambako wamiliki wa mabucha huwakuti.
Hizi hesabu za kwenye madaftar kabla ya kuingia uwanjani, miaka 20 iliyopita ilinifanya nijiingize kwenye biashara ya usafiri wa umma mjini, kipindi iko gari kubwa daladala mwenge mbagala nauli TSH 150/=✓Nadhani unaweza kuanza hivi:-
Mauzo
- Tafuta fremu nzuri iliyopo sehemu nzuri, labda 200,000/= kwa mwezi
- Nunua mizani labda 150,000/=
- Tafuta gogo 50,000/=
- Mapanga,shoka 30,000/=
- Friza 500,000/=
- TIN
- Leseni
Bei ya machinjioni huwa kuna tofauti kama ya 1000 na ile bei ya kuuza rejareja dukani,inategemea na mkoa n.k
- weka malengo ya kuleta kilo 50 kwa siku ili usilaze nyama
- Tafuta wateja wako wa kudumu,angalau 10 n.k wanaweza kuwa mama ntilie au wachoma mishikaki
- Kilo zinazobakia utawauzia wateja ambao sio wakudumu,wapita njia
Kama utapata faida ya 1000 kwa kila kilo, inamaana kwa kilo 50 kwa siku, utauza 50,000/=
50,000 x 30days = 1,500,000/=
Mapato na matumizi
Faida utakayobaki nayo ni Sh. 850,000/=
- Mapato 1,500,000/=
- Toa kodi 200,000/=, utabaki na 1,300,000
- Toa muuzaji 200,000/= baki 1,100,000
- Toa usafiri kwa mwezi 100,000, baki 1,000,000
- Toa umeme na maji 150,000; unabaki na 850,000
Ukiwa na magoli ya namna hiyo 20; utakuwa na mapato ya sh. 17,000,000/=
Mkuu,ingia vitani ukawe tajiri
Ukifanikiwa kutengeneza wateja wa kudumu kwenye biashara yako, mafanikio yatakuwepoHizi hesabu za kwenye madaftar kabla ya kuingia uwanjani, miaka 20 iliyopita ilinifanya nijiingize kwenye biashara ya usafiri wa umma mjini, kipindi iko gari kubwa daladala mwenge mbagala nauli TSH 150/=✓
Kilichonikuta ni hasara na million yangu 18 haikurudi tena, kipindi kile ilikuwa ela nyingi..
Ila biashara ya butcher ina faida, but inatakiwa uwe na butcher zaidi ya moja nadhani
Hapo kwenye kuwa na magori 20🤔🤔Nadhani unaweza kuanza hivi:-
Mauzo
- Tafuta fremu nzuri iliyopo sehemu nzuri, labda 200,000/= kwa mwezi
- Nunua mizani labda 150,000/=
- Tafuta gogo 50,000/=
- Mapanga,shoka 30,000/=
- Friza 500,000/=
- TIN
- Leseni
Bei ya machinjioni huwa kuna tofauti kama ya 1000 na ile bei ya kuuza rejareja dukani,inategemea na mkoa n.k
- weka malengo ya kuleta kilo 50 kwa siku ili usilaze nyama
- Tafuta wateja wako wa kudumu,angalau 10 n.k wanaweza kuwa mama ntilie au wachoma mishikaki
- Kilo zinazobakia utawauzia wateja ambao sio wakudumu,wapita njia
Kama utapata faida ya 1000 kwa kila kilo, inamaana kwa kilo 50 kwa siku, utauza 50,000/=
50,000 x 30days = 1,500,000/=
Mapato na matumizi
Faida utakayobaki nayo ni Sh. 850,000/=
- Mapato 1,500,000/=
- Toa kodi 200,000/=, utabaki na 1,300,000
- Toa muuzaji 200,000/= baki 1,100,000
- Toa usafiri kwa mwezi 100,000, baki 1,000,000
- Toa umeme na maji 150,000; unabaki na 850,000
Ukiwa na magoli ya namna hiyo 20; utakuwa na mapato ya sh. 17,000,000/=
Mkuu,ingia vitani ukawe tajiri
Nitaomba mrejesho kwako boss.Nimepata mwanga wa kutosha kuanza nao, na kwa kuwatoa hofu wengine mtaji sio mkubwa sana hapa…. imagine unawekeza milioni TATU tu kwa biashara itakayoweza kukupa FAIDA ya takribani milioni MOJA kwa MWEZI.
Just IMAGINE!
Na hapo kama lengo ni kuuza kiasi cha kuisha siku MOJA, basi unaweza kuanza bila FRIZA.
I’m going IN.[emoji1477]
Ili nikweli mkuu 100%Ukifanikiwa kutengeneza wateja wa kudumu kwenye biashara yako,mafanikio yatakuwepo
Inawezekana kama cha kwanza kitafanya vizuri.Hapo kwenye kuwa na magori 20🤔🤔
Pole sana. Hii ni kawaida. Mahesabu ya biashara kwenye daftari na kufanya biashara ni vitu viwili tofauti kabisa. Biashara yoyote, hasa hizi za nchi zetu za kiafrika zina details ndogo ndogo nyingi ambazo bila kuifanya huwezi kujua. Kwa mfano hii ya nyama unaweza kuambiwa ''unaenda machinjioni unanunua kila 100....''. Ule ujuzi tu wa kununua nyama nzuri ni kipengele kimoja.Hizi hesabu za kwenye madaftar kabla ya kuingia uwanjani, miaka 20 iliyopita ilinifanya nijiingize kwenye biashara ya usafiri wa umma mjini, kipindi iko gari kubwa daladala mwenge mbagala nauli TSH 150/=✓