Vanc ouver
Member
- Jun 24, 2024
- 30
- 15
Mkuu kwema, napenda kukuuliza tips za hii biashara nategemea kuianza nimepata location nzuri, je mtaji wa 4 milions ntaweza kuanza pia bei ya compreserMi nilisomaga Uzi wa hii biashara humu humu nikaanza na mtaji wa milioni 6 mwaka 2018.Hii biashara Ni nzuri sn mpk ss imenisaidia nimejenga nyumba 2 mpk ss.Kwa changamoto yyt utakayopata unaweza kuuliza karibu