AfroMonster
Member
- Jun 7, 2018
- 69
- 83
Mtu wa ICT hawezi kuwa mtangazaji!! Ni field mbili tofautiHello JF: nawasalimu wakuu, poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa.
Nina mdogo wangu form four leaver, div IV points 29, anatamani sana kuwa mtangazaji/redio presenter, pamoja na kuwepo vyuo (vya private) vinavyotangaza kutoa kozi za redio broadcasting & journalism nikiangalia kwenye guidebook ya NACTE sioni kozi inayotambulika kwa jina hilo, naona tu kozi ya ICT,, je hizi kozi zinaelekeana au kuhusiana?
Naomba ushauri jinsi ya kumuwezesha mdogo wangu kufikia ndoto yake.... Hasa kupitia pathway ya certificate[emoji654] diploma
Pia ushauri wa chuo kizuri, cheap.
Au ushauri wowote mbadala.
Shukrani.
Electronic journalism includes working for Radio, Television and the Web.Naomba ushauri jinsi ya kumuwezesha mdogo wangu kufikia ndoto yake
Tatizo ni ufaulu wake, mwambie aweke matokeo yote hapa halafu ndiyo umshauriElectronic journalism includes working for Radio, Television and the Web.
(Source: www.youngbuzz.com/careers/electronic-journalism) hivyo basi akasomee uandishi wa habari (na kozi zao zinajulikana hivyo) -hakikisha chuo kiko sawa upande wa ejournalism. Nafikiri SAUT wako poa.
Nina mdogo wangu form four leaver, div IV points 29,
Tatizo ni ufaulu wake, mwambie aweke matokeo yote hapa halafu ndiyo umshauri
USHAURI WA MBADALA!!!Hello JF: nawasalimu wakuu, poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa.
Nina mdogo wangu form four leaver, div IV points 29, anatamani sana kuwa mtangazaji/redio presenter, pamoja na kuwepo vyuo (vya private) vinavyotangaza kutoa kozi za redio broadcasting & journalism nikiangalia kwenye guidebook ya NACTE sioni kozi inayotambulika kwa jina hilo, naona tu kozi ya ICT,, je hizi kozi zinaelekeana au kuhusiana?
Naomba ushauri jinsi ya kumuwezesha mdogo wangu kufikia ndoto yake.... Hasa kupitia pathway ya certificate[emoji654] diploma
Pia ushauri wa chuo kizuri, cheap.
Au ushauri wowote mbadala.
Shukrani.
Oky, asante mkuuElectronic journalism includes working for Radio, Television and the Web.
(Source: www.youngbuzz.com/careers/electronic-journalism) hivyo basi akasomee uandishi wa habari (na kozi zao zinajulikana hivyo) -hakikisha chuo kiko sawa upande wa ejournalism. Nafikiri SAUT wako poa.
Haya hapa mkuu,,Mkuu "AfroMonster" kama alivyoshauri "MKWEPA KODI" ni vizuri uweke ufaulu wake wa kila somo ili wanaojua vigezo vya hizo kozi za journalism waweze kutoa msaada zaidi.
Mkuu fungua hapo chini utaonaHaya hapa mkuu,,
Eng D
Kisw D
Geo D
Chem D
Biol C
Hist F
Maths F
Civ F
Shukrani...
Asante sana mkuu,, Nacte binafsi sijaona chuo kinachotoa kozi hiyo,, kama wadau kuna chuo mnakifahamu ikipendeza cha serikali naomba mnisaidieMkuu fungua hapo chini utaona
8. Certificate in Journalism and Media Studies (Astashahada ya Uandishi wa Habari), unahitaji D Nne hivyo una vigezo vya kuomba lakini kupata itategemea na ushindani. Omba nasikia hao SAUT wako vizuri. Check pia NACTE utaona nani wengine wana program kama hiyo, watafute ujue wako uzuri kiasi gani. Heri na fanaka.
Ingia NACTE, tafuta kitufe cha Admission Guidebooks, halafu ingia utafute (Administration, Business, Law, Planning, Social Work, Community Development, Tourism and related Programmes). Hizi ni Programmes offered by Institutions in 2018/2019. Utaviona vyuo vinavyotoa Basic Technicians Certificate in Journalism. Viko zaidi ya 10 pamoja na hicho cha Morogoro na SAUT.Asante sana mkuu,, Nacte binafsi sijaona chuo kinachotoa kozi hiyo,, kama wadau kuna chuo mnakifahamu ikipendeza cha serikali naomba mnisaidie
kuna kipindi nilisikia Morogoro kipo chuo ila bado sina uhakika