Naomba ushauri Kozi fupi ya kusoma

Naomba ushauri Kozi fupi ya kusoma

mamamkimbi

New Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
4
Reaction score
1
Jamani mimi nimesoma mpaka form six, sasa nataka kusoma kozi fupi fupi ili nipatate kazi zinazo patakina fasta, nomba ushauri wadau nisome nini?
 
Dogo nenda kasome koxi fupi za masuala ya tourism /hotel management.
 
Asanteni wadau...hata mimi nilikuwa na wazo la kufanya mambo ya tourism hope ita work out for me...many thanks
 
Kasome Tally accounts package + clearing and forwarding management 6 month itakutoa.
 
Njoo iringa tulime viazi, vitunguu, nina mashamba ya uridhi hakuna haja ya kuhangaika kusoma huko, kozi miezi 6 hiyo hela njoo nayo huku sasa ununue mbegu,

karibu sana.
 
Jaman wakuu ebu tujaribu tunapochangia mada tuwe watulivu kwenye uhandishi watu wanaandika utafikiri watu ambao awajaenda shule alafu mambo ya fb tuache mfan: sasa mtu anaandika xx. sio kumkosoa mtoa mada ata wachangiaji mjichunguze.

Ni ayo tu wakuu.
 
Njoo iringa tulime viazi, vitunguu, nina mashamba ya uridhi hakuna haja ya kuhangaika kusoma huko, kozi miezi 6 hiyo hela njoo nayo huku sasa ununue mbegu,

karibu sana.

Fabroz ni pm namba ako ntakupgia
 
Dili somea computer hasa its maintainance utapenda mwenyewe yani unaajiliwa fasta na bado unajiajiri mwenyewe
 
kikubwa kasoma tourism na vyuo kwa sasa vpo vingi kwel ya hasa huku kaskazin mwa nchi vimejaaa alaf vipo sawa tu kingine komaa na lugha za wenzetu kama Kifaransa,Spanish, na Germany itakutoa sana tu.
 
Back
Top Bottom