Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,616
- 3,430
Ungeweza nunua zile tray za kuoteshea, andaa udogo wako kisha uchanganye na samadi yeyote umwagilie maji na ugeuze geuze huo mchanganyiko kila siku baada ya wiki, weka udongo huo kwenye tray au viriba vile vyakuoteshea miti fukia kwa kiudongo kidogo sana kwa juu then kama utapata pumba za mpunga yaani yale maganda manene weka kwa juu mwagia maji mengi. Kisha ukiweza panga tray kwenye turubai zifunike kusiingie mwanga kabisa, baada ya siku tatu toa kisha endelea kumwagia maji
kwa keni kwa siku mara 3 zinahitaji unyevu hasa kikawaida hua zinachelewa kuota.
Mkuu soko likoje, kwa project ya heka unaweza pata wateja wa kumaliza zote?Mimi niliotesha kidogo sasa navuna roba 2 kila wiki. Nilifuata hizo hatua ziliota kwa asilimia 95
Sijajua mkuu ila mimi nililima kisehemu kidogo hata robo heka hakijafika mfano Leo nimevuna roba 3 na kila roba moja shambani nimeuza 85000.Mkuu soko likoje, kwa project ya heka unaweza pata wateja wa kumaliza zote?
Sijajua mkuu ila mimi nililima kisehemu kidogo hata robo heka hakijafika mfano Leo nimevuna roba 3 na kila roba moja shambani nimeuza 85000.
Unaweza fanya makisio mpaka sasa umetoa roba ngapi na zina miezi mingapi.Sijajua mkuu ila mimi nililima kisehemu kidogo hata robo heka hakijafika mfano Leo nimevuna roba 3 na kila roba moja shambani nimeuza 85000.
Nimetoa roba 7 nilizipanda mwishoni mwa Dec nimeanza kuvuna FebruaryUnaweza fanya makisio mpaka sasa umetoa roba ngapi na zina miezi mingapi.
Sina hakika sana maybe 1000 hiviRoba tatu miche mingapi?
Sina hakika sana maybe 1000 hivi
Miche haikuota au iliota ikaishi siku chache ikafa?Habari zenu wapendwa,
Baada ya kushawishika na upandaji mbogamboga katik mazingira ya nyumbani, nimejaribu mboga kadha wa kadha nimeweza ila hohoho zinanishinda kuanzia kitalu,nimefanya attempts baada ya shauri kadha wa kadha ila nimeshindwa fanikisha.
1st time:
Niliambiwa kwa kitalu nitumie mbolea ya samadi na kitalu kisiwe mahala penye jua na nihakikishe unyevu full time.
Nilitumia kinyesi cha ng’ombe niliponda nikachekecha nikaiweka ivunde kwa kuimwagia maji then nikafanya kitalu.
Ila sikifanikisha.
2nd time:
Nikaambiwa ni vyema kuziloweka 24hrs then nifatehizo hatua za namba 1.
I did it ila nikafeli tena.
3rd time:
Nikabadili udongo.
4th time:
Nikabadili aina ya mbegu nikaenda kwa wauzaji tofauti na mbegu aina nyingi ni zile hoho za njano.
Je nini cha kufanya ili niweze kufikia lengo?
Nawasilisha.
Miche haikuota au iliota ikaishi siku chache ikafa?
Hapa ngoja niwahi seat.Habari zenu wapendwa,
Baada ya kushawishika na upandaji mbogamboga katik mazingira ya nyumbani, nimejaribu mboga kadha wa kadha nimeweza ila hohoho zinanishinda kuanzia kitalu,nimefanya attempts baada ya shauri kadha wa kadha ila nimeshindwa fanikisha.
1st time:
Niliambiwa kwa kitalu nitumie mbolea ya samadi na kitalu kisiwe mahala penye jua na nihakikishe unyevu full time.
Nilitumia kinyesi cha ng’ombe niliponda nikachekecha nikaiweka ivunde kwa kuimwagia maji then nikafanya kitalu.
Ila sikifanikisha.
2nd time:
Nikaambiwa ni vyema kuziloweka 24hrs then nifatehizo hatua za namba 1.
I did it ila nikafeli tena.
3rd time:
Nikabadili udongo.
4th time:
Nikabadili aina ya mbegu nikaenda kwa wauzaji tofauti na mbegu aina nyingi ni zile hoho za njano.
Je nini cha kufanya ili niweze kufikia lengo?
Nawasilisha.
Mbegu hizo mzee, huenda zilikuwa fake....haiwezekani miche isitoke kabisa!Haikuota mkuu
Mbegu hizo mzee, huenda zilikuwa fake....haiwezekani miche isitoke kabisa!
Ok! Asante