Habari zenu jamani
Mimi nimwanafunzi nilie maliza form four mwaka wa Jana na nilimpata three ya 24 selection zimetoka mwaka huu nimepangiwa nikasomee uwalimu wa sekondari ngazi ya diploma wa masomo ya sayansi (chemistry na mathematics).
Halafu Kuna mtu kanishauri niachanana uwalimu nikasomee MEDICAL LABORATORY zl sanilikuwa naomba ushauri eenu kati ya kozi ya MEDICAL LABORATORY na uwalimu wa CHEMISTRY na MATHEMATICS Bora nikasomee nn kati ya izo mbili mana nipo njia panda mpaka sasa