Naomba ushauri kabla ya ndoa

Kaka usije ingia kwenye ndoa na huyo mwanamke. Step back kwanza, chunguza kuna shida gani.

Kwa kawaida unapokuwa na long distance relationship, mwanamke akianza kupunguza mawasiliano hiyo ni dalili mbaya sana. Huenda ana mwanaume mwingine na sasa anasingizia kazi, ameanza kukuchoka. Usikimbilie kuoa kaka kwa sasa,utaumia
 
Pole sana me nilikuwa sijajua huyu demu ananisimuliaga kila siku kuna ngiri ananisumbua...pole ila ngoja nitamuadhibu kwa niaba...believe me namuumiza maana umeandika kwa uchungu sana.Me ndio namkaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…