Naomba ushauri juu ya mpenzi wangu.

miaka saba iko hivi nilianza nae O'level na mwaka huu ndio kamalizia chuo kozi ya miaka mitatu...
 

Jaman! Upewe ushauri uachanenae au uendeleenae?
Kama kukupenda hakupendi, ni vipi tukushauri uendelee nae?
Kama kumuacha ni ni yeye amekuacha kwa vitendo, au ni lazima akuambie hakutaki?
Au unataka tukupe njia ili aachane na huyo ndugu yako? Kumbuka mapenzi hayalazimishwi! Embu muachie ndugu yako ale afaidi mbunye, eti miaka 7 bado unamwita mpenzi! Khaa!
 
Hicho kitu kikubwa ni nini alichopewa ndugu yako?
 
Wewe, hiyo kitu haina makombo.
Piga chini miaka 7 uliochezea hiyo kitu yake inatosha. Utamu wote umeula

Mwachie huyo ndugu yako ale makombo yako. Tafuta tena mwingine.


"Sizitaki mbichi hizi".
 
Piga chini demu huyo ndugu yako ni nyoka kama anaishi kwako mtimue
 
Miaka saba ulikuwa unamchunguza? That's too much. Anatafuta mwingine aliye serious...
 

Kwani mkeo ukikaa naye miaka saba anakuwa siyo mpenzi wako tena? Ndo maana watu wanatoka nje wakaitwe 'baby'.
 
acha utani miaka 7 dogo hata katoto,? mlikuwa mna agape love? maana daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

temana na huyo kicheche ata kuua siku sio nyingi au huelewi maradhi mengi siku hizi eeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…