Habari za majukumu ndugu zangu.
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa Pili, chuo Fulani kilichopo Dar es salaam.
Kutokana na ukoseafu wa ajira ninao ushuhudia kwa baadhi ya wahitimu.. ( marafiki zangu na Taifa kwa ujumla) nimeona na kujadili mtindo ufuatao wa Maisha ili hiki kipindi nipo chuo nitumie muda huu na rasilimali za chuo(Helbs) kujikwamua kiuchumi.
1.Kutokana na ukoseafu wa ajira nimeamua kujihusisha na biashara mbalimbali za kutoa mkoani na kuleta dar es salaam.
2.Kutokana na ukoseafu wa ajira hapo baadae nimeona Bora kupata ufaulu unaoridhisha tu wa 3.5 kwa kila mwaka., Hali hii itanifanya niwe nimejikita moja kwa moja na biashara kuliko masomo.
3.Kutumia muda mdogo Sana Kuwa chuoni. (Ntakuwa busy na Mambo Yangu.)
4.kuunda Network Mpya kabisa ya watu( wafanyabiashara wenzangu)
5.Nafanya yote haya ili kujiandaa kimazingira na kifikra katika suala Zima la kujiajiri hapo baaadae.
Ndugu zangu naombeni ushauri juu ya huo msimamo wangu!
Mana nimeanza kupambana kutafuta maisha muda mrefu na changamoto Ilikuwa mtaji na mahali kwenye mzunguko wa pesa..
Hali ilionifanya kuingia baharini kuvua samaki licha ya kuwa ni mzawa wa Tabora ambapo Hakuna hata mto.
Nimeandika haya nikiwa na akili Timamu bila msukumo wa mtu
Naomba ushauri juu ya msimamo wangu.
Ahsante Sana