Naomba ushauri juu ya huyu binti

MTOTO KITAA

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
245
115
Wadau heshima kwenu!

Huyu mpenzi wangu wamezaliwa mapacha watatu, wawil wameolewa na mmoja ndio ninae mie, sijamuowa bado, lakini wakati ameshakuwa mpenzi wangu,nikaja kugundua baada ya miezi minne, kuwa alimkataa mpenzi wake wa zamani ambaye alishatoa mahali, sababu kuu alisema jamaa hawezi kabisa kumfikisha kimapenzi, nikafanya utafiti ya kwanini alimkataa?

Nikajikaza nikamtafuta yule mpenzi wake, maana wote wanaume, jamaa akafunguka na na kusema mwanamke jeuri na anapenda pesa, so niwe mwangalifu yasije nikuta, nikamfata shemeji yake ambay ameoa pacha mwezake, jamb akaniambia huyu mwanamke anapenda sana watu wenye pesa na pia ni malaya.tatizo sas, mie sina pesa!

Huyu mwanamke tangu niishi naye ni mwezi wa nne sasa.Asubuhi huwa nampa hela ya vitafunwa, mchana anakula chakula cha kawaida tu,na sio mjeuri ina anaheshima sana, mcheshi sana, na anasisitiza nimuoe.

Naombeni ushauri ndugu zangu, je nifumbe macho nimuowe? Au wasemavyo walimwengu yatanitokea? Au nibadili gea angani? Au nipaishe tu ndege?

Asanteni na karibuni
 
Wadau heshima kwenu! huyu mpenz wangu wamezaliwa mapacha watatu, wawil wameolewa na mmoja ndio ninae mie, sijamuowa bado. lakin wakati ameshakuwa mpenz wang,nikaja kugundua baada ya miezi minne,kuwa alimkataa mpenzi wake wa zaman ambaye alishatoa mahali, sababu kuu alisema jamaa hawez kabisa kupiga mzigo,nikafanya utafiti ya kwa nin alimkataa? nikajikaza nikamtafuta yule mpenz wake, maana wote wanaume, jamaa akafunguka na na kusema mwanamke jeuri na anapenda pesa, so niwe mwangalifu yasije nikuta. nikamfata shemeji yake ambay ameoa pacha mwezake, jamb akaniambia huyu mwanamke anapenda sana watu wenye pesa na pia ni malaya.tatizo sas, mie sina pesa! huyu mwanamk tangu niish naye ni mwez wa nne sasa,asubuh huwa nampa mia tano ya maandaz, mchana anakula chakula cha kawaida tu,na sio mjeur na anaheshima sana, mchesh sana, na anasisitiz nimuowe, naomben ushaur ndugu zangu, je nifumbe macho nimuowe ? au wasemavyo walimwengu yatanitokea? au nibadili gea angani? au nipaishe tu ndege? asanten na karibuni

Oa baba may be kakupenda ulivyo lkn tabia ni ngumu kubadilika, anaweza iibua upya baada ya ndoa
 
Kama uwezo wako ni wachini na ameridhia sidhani kama atakuja kuomba umuachie pesa ya burger asubuhi badala ya maandazi...

Ila kama uko poa kiuchumi na yy analitambua hilo basi hapo ndo kunaweza kuwa na tatizo,Coz haya yote anayokufanyia now yatakuwa maigizo tu..

Anasubiri uingie kifungoni ndo aanze masinema yake
 
Usimpe moyo wako mapema tumia muda ku act mnyime hata hiyo 500 unayompa uone reaction yake.Inawezekana tu na yeye kwa wakati huu hiyo 500 ndo inamfanya akugande maana hajapata wakumpa hata hiyo...Maadam ushapewa tabia yake yakija kukuta hakuna utaeweza mlaumu
 
Wadau heshima kwenu! huyu mpenz wangu wamezaliwa mapacha watatu, wawil wameolewa na mmoja ndio ninae mie, sijamuowa bado. lakin wakati ameshakuwa mpenz wang,nikaja kugundua baada ya miezi minne,kuwa alimkataa mpenzi wake wa zaman ambaye alishatoa mahali, sababu kuu alisema jamaa hawez kabisa kupiga mzigo,nikafanya utafiti ya kwa nin alimkataa? nikajikaza nikamtafuta yule mpenz wake, maana wote wanaume, jamaa akafunguka na na kusema mwanamke jeuri na anapenda pesa, so niwe mwangalifu yasije nikuta. nikamfata shemeji yake ambay ameoa pacha mwezake, jamb akaniambia huyu mwanamke anapenda sana watu wenye pesa na pia ni malaya.tatizo sas, mie sina pesa! huyu mwanamk tangu niish naye ni mwez wa nne sasa,asubuh huwa nampa mia tano ya maandaz, mchana anakula chakula cha kawaida tu,na sio mjeur na anaheshima sana, mchesh sana, na anasisitiz nimuowe, naomben ushaur ndugu zangu, je nifumbe macho nimuowe ? au wasemavyo walimwengu yatanitokea? au nibadili gea angani? au nipaishe tu ndege? asanten na karibuni

Unampa mia tano tu na bado yupo kwako hajakimbia?..oa fasta huyo!!..
 
Hela ya mandazi na chakula cha mchana unampia wapi kwao au unaishi naye sasa unatafuta defend mechanisim??? Achana na mambo ya watu pengine hapo kwako ndio kakolea na wanaosema mpenda pesa wameshndwa hata kumridhsha kimapenzi nao wanasema mauongoo kumchafua. Muoe mwayaaa kama bado na kama unao baada ya communication ya 4month imekuridhisha.
 
kama unaacha mia tano ya maandazi na karidhika basi huyo wa awali alikua aachi hata kumi anamchafua tu ili umwache kama wanavyomchafua lowasa.
 
ktk kipindi chote hicho umemchunguza na umethibitisha mwenyewe kuwa yasemwayo juu yake c kweli bali ni uongo kwa nn sasa waendelea kusita.? oa kakupenda ww huenda alikuwa akifanya hayo kwa jamaa ili asimuoe kwa kuwa hakuwa anampenda. sawa ndugu.!!
 
Wadau heshima kwenu! huyu mpenz wangu wamezaliwa mapacha watatu, wawil wameolewa na mmoja ndio ninae mie, sijamuowa bado. lakin wakati ameshakuwa mpenz wang,nikaja kugundua baada ya miezi minne,kuwa alimkataa mpenzi wake wa zaman ambaye alishatoa mahali, sababu kuu alisema jamaa hawez kabisa kupiga mzigo,nikafanya utafiti ya kwa nin alimkataa? nikajikaza nikamtafuta yule mpenz wake, maana wote wanaume, jamaa akafunguka na na kusema mwanamke jeuri na anapenda pesa, so niwe mwangalifu yasije nikuta. nikamfata shemeji yake ambay ameoa pacha mwezake, jamb akaniambia huyu mwanamke anapenda sana watu wenye pesa na pia ni malaya.tatizo sas, mie sina pesa! huyu mwanamk tangu niish naye ni mwez wa nne sasa,asubuh huwa nampa mia tano ya maandaz, mchana anakula chakula cha kawaida tu,na sio mjeur na anaheshima sana, mchesh sana, na anasisitiz nimuowe, naomben ushaur ndugu zangu, je nifumbe macho nimuowe ? au wasemavyo walimwengu yatanitokea? au nibadili gea angani? au nipaishe tu ndege? asanten na karibuni

Kuna Mtu Hapo Mkuu KAKUDANGANYA Kuwa Wewe Muoe Tu Huyo Mrembo. Ila Nakupa UKWELI Wangu Kuwa UKIMUOA Huyo Dada Jua Ya Kwamba UMEHIFADHI BOMU Tena CHINI YA KITANDA CHAKO UNACHOLALIA.
 
ktk kipindi chote hicho umemchunguza na umethibitisha mwenyewe kuwa yasemwayo juu yake c kweli bali ni uongo kwa nn sasa waendelea kusita.? oa kakupenda ww huenda alikuwa akifanya hayo kwa jamaa ili asimuoe kwa kuwa hakuwa anampenda. sawa ndugu.!!

Hakuwa anampenda akaishi nae na akawa anadate naye hapa mimi naona hii mia tano ni ya chai tu lkn huduma zingine anapata kwingine so bro hapa anapigwa changa tu ili ionekane anapendwa
 
muoe tu akikushinda mtaachana maana ukiangalia sana kheri ya huyo unae mjua madhaifu yake.
 
Ni mara chache sanaaa mtu akaachana na mtu alafu akaelezea sifa zake nzuri, so wewe ndio uko nae sasa na ndio unajua anakufaa kwa kiasi gani, so akili kumkichwa.
 
Wadau heshima kwenu! huyu mpenz wangu wamezaliwa mapacha watatu, wawil wameolewa na mmoja ndio ninae mie, sijamuowa bado. lakin wakati ameshakuwa mpenz wang,nikaja kugundua baada ya miezi minne,kuwa alimkataa mpenzi wake wa zaman ambaye alishatoa mahali, sababu kuu alisema jamaa hawez kabisa kupiga mzigo,nikafanya utafiti ya kwa nin alimkataa? nikajikaza nikamtafuta yule mpenz wake, maana wote wanaume, jamaa akafunguka na na kusema mwanamke jeuri na anapenda pesa, so niwe mwangalifu yasije nikuta. nikamfata shemeji yake ambay ameoa pacha mwezake, jamb akaniambia huyu mwanamke anapenda sana watu wenye pesa na pia ni malaya.tatizo sas, mie sina pesa! huyu mwanamk tangu niish naye ni mwez wa nne sasa,asubuh huwa nampa mia tano ya maandaz, mchana anakula chakula cha kawaida tu,na sio mjeur na anaheshima sana, mchesh sana, na anasisitiz nimuowe, naomben ushaur ndugu zangu, je nifumbe macho nimuowe ? au wasemavyo walimwengu yatanitokea? au nibadili gea angani? au nipaishe tu ndege? asanten na karibuni

Brother kiroho safi hujafafanua vizuri hii mia tano ndio ya breakfast, lunch na dinner, na mahitaji mengine au anakaa kwao, kama c hivo kuna watu wanakusaidia kutunza na hata ukioa utatunziwa na wenzako labda kwako kapenda mswelepeto na sura lkn pesa ana mahali anazipiga, Akili kichwani pako
 
Back
Top Bottom