Mapondo Mapoka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 274
- 135
Kuchinja na kuuza kwa kilo ndo unapata bei ya uhalisia zaidi na naweza kusema inalipa japo sijajua gharama ulizotumia.
Ngoja wazee wa viti virefu waje
Daaah! Umenitoa mate asb yote hii [emoji39][emoji39][emoji39]Wakuu natumaini hamjambo.
Kichwa cha habari chajieleza hapo juu.
Naomba kueleweshwa,ni njia gani kati ya kuuza nyama ya nguruwe kwa kilo jumla na kuuza nguruwe mzima mzima. Ipi ni njia nzuri na yenye faida?
Asanteni.
Daaah! Umenitoa mate asb yote hii [emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23] Umejuaje? Nimetoroka ofisini nipo sehemu naishushia na kasparletta. Ingekua insta huku ningekutumia kapicha kuthibitisha.Angalia kwenye waleti kama kuna kuna chochote uende kuwasaka mahali popote
[emoji23][emoji23][emoji23] Umejuaje? Nimetoroka ofisini nipo sehemu naishushia na kasparletta. Ingekua insta huku ningekutumia kapicha kuthibitisha.
Wee weeeeh! Customers unawahudumiaje na hivo vitu?Hahaa,umekosea kidogo sana kwa kushushia na sparleta. Ungetupia safari mbili au balimi moja ya baridi,saiz ungekua na confidence za kutosha.
Wakuu natumaini hamjambo.
Kichwa cha habari chajieleza hapo juu.
Naomba kueleweshwa,ni njia gani kati ya kuuza nyama ya nguruwe kwa kilo jumla na kuuza nguruwe mzima mzima. Ipi ni njia nzuri na yenye faida?
Asanteni.
Nawahtaji ila niko DarMradi wa nguruwe upo Mpanda Katavi. Kwasasa kuna nguruwe wakubwa kumi ambao wako tayari kwa kuliwa na watoto 11 wenye miezi 3 pia ni mbegu kubwa.
Karibu tufanye biashara.
Nawahtaji ila niko Dar
Mkuu, huwa una mahitaji ya wastani wa nguruwe wangapi kwa kipindi cha muda gani?.Nawahtaji ila niko Dar
Mkuu, huwa una mahitaji ya wastani wa nguruwe wangapi kwa kipindi cha muda gani?.
Je unawafuata mwenyewe mikoani au?