pole sana kaka wanawake wa sasa sio wa kuwaamin hata kidogo,hapa nilipo aliekuwa mke wangu amenidhulumu kila kitu,nilipata matatizo flan nikawa sipo,ushaur wangu washirikishe ndugu ukikaa kimya yatakukuta kama yangu kwan mi pia nilikaa kimya matokeo yake najuta,kaz nimepoteza,mali zangu nimepoteza,pole sana bro ni kama umenitonesha kitu,mbaya zaidi wa kwangu ameshirikiana na kaka yake ambae nilimsomesha kwa jasho langu!