Jibu ni;
1. Mwanaume anaweza pata maambukizi ya magonjwa ya zinaa, ikiwamo UKIMWI...
2. Mume akishaambukizwa, na akifanya tendo la ndoa na mkewe, nafasi ya maambukizi kwa mama na mtoto inakuwa kubwa.
3. Kuvunja uaminifu, mapenzi na mahusiano mazuri baina ya huyo mwanaume na mama mjamzito na pengine kuja kuathiri ndoa na maisha ya baba, mama na mtoto atayezaliwa.
Umeelewa?
Ndo Tatizo la Mitanzania badala ya kumpa jibu unatukana
tatizo lako wewe badala ya kujibu swali unataka kudesa.
tatizo lako wewe badala ya kujibu swali unataka kudesa.
hahahahaa, umemuona eeeh! njo nikupe dripu ya juisi ushushe hasira. lol
We si mzima
Ukaombewe
Muulize huyo mke wco!,ndio anajibu sahihi