Kajoboy Member Joined Feb 26, 2013 Posts 7 Reaction score 3 May 17, 2016 #1 Boxer na Tvs ipi ni pikipiki bora zaidi
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 34,552 Reaction score 100,653 May 17, 2016 #2 TVS King si bajaji? Boxer ni pikipiki nzuri kwa matumizi ya mjini kusiko na mchanga hafu usiwe unabebea mizigo mikuwa. ZInawahi sana kuchakaa.
TVS King si bajaji? Boxer ni pikipiki nzuri kwa matumizi ya mjini kusiko na mchanga hafu usiwe unabebea mizigo mikuwa. ZInawahi sana kuchakaa.
Kajoboy Member Joined Feb 26, 2013 Posts 7 Reaction score 3 May 17, 2016 Thread starter #3 OK lakini kuna pikipiki zinaitwa TVS kwa sasa.na dhani ni kampuni moja.
A Agera 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 4,148 Reaction score 4,323 May 19, 2016 #4 tvs nzur kwa mafuta umbo na mvuto ni boxer kuhusu uimara cjui ipi ni bora
xb664 JF-Expert Member Joined May 2, 2013 Posts 200 Reaction score 129 May 19, 2016 #5 Boxer sio imara sana.,ukiwa mtu wa safari ndefu inachoka haraka na spare zake ziko juu mno..,kama ni mtu wa shughuli za pori.,Sanlg au Haojen ndio ziko vzr.,
Boxer sio imara sana.,ukiwa mtu wa safari ndefu inachoka haraka na spare zake ziko juu mno..,kama ni mtu wa shughuli za pori.,Sanlg au Haojen ndio ziko vzr.,
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,360 Reaction score 68,452 May 19, 2016 #6 Boxer BM 150 muhindi alipatia sana
Polisi jamii JF-Expert Member Joined Mar 22, 2013 Posts 2,604 Reaction score 1,385 May 19, 2016 #7 TVS ZINATUMIWA SANA NA WATU WA MALI ASILI