NMDA antagonist
Senior Member
- Mar 25, 2018
- 149
- 106
Habar za humu wakuu,
Naomba kujuzwa kuhusu nafasi za jeshi kwa kada ya afya baada ya interview. je kuna watu wowote walio itwa kwa ajiuli ya kuanza mafunzo au laa? Maana zimeshapita wiki takribani wiki 3 tangu tupeleke vyeti vyetu.
Ahsante wakuu.