Naomba unishauri chochote katika hili

Naomba unishauri chochote katika hili

postgreSQL

Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
11
Reaction score
4
mimi ni kijana (mid 20s). taaluma yangu ni mwalimu, nimeajiriwa (private). nilkua na ndoto za kuchukua fani za injinia tangu mdogo, ila mazingira ya o-level na uzembe binafsi ukaua ndoto hizo, nilipomaliza kidato cha nne kabla ya matokeo nilienda gereji za mtaani kujifunza umeme wa magari ,kwa kua hatukua wengi , niliweza ku-master kwa muda mfupi na nilianza kuingiza pesa. baada ya matokeo kutoka nilifaulu na ikanibidi niache ufundi nikaendelea hadi chuo nikamailiza (nikawa mwalimu).
kufupisha nikua lengo langu la upande wa sayansi bado nilikua nalo hivyo nikaona kitu ninachoweza kujifuza mwenyewe ni kozi za computer,
nilianza kwa kutumia youtube tuturials, e-books, open courseware za MIT, STANFORD, CODACADEMY. SOLO LEARN, GIDHUB na njia nyingine njingi vitu kama web development na programing mpaka sasa nimmejifunza PYTHON, HTML, CSS, BOOSTRAP , Django framework na PHP. pia kwa upande wa database, niko vizuri katika SQL kwa lugha ya POSTGRESQL.
Ni takribani mwaka sasa tangu nianze kujifunza kwa practicle nimetengeneza website kwa kutumia HTML,CSS NA BOOSTRAP (static website) ambayo ni kushare na wanafunzi wangu 👉UALIMU. malengo yangu ni kujiendeleza zaidi hasa katika cybersecurity .
lengo langu kwa sasa nomba ushauri nifanyeje niweze kujiendeleza katika field hii ya computer, pia naomba kama nitapata FREELANCE kokote au hata watu wa kuungana nao (code camp) kujifunza zaidi. ni muaminifu na napenda kujifunza kitu kipya kila siku.

natanguliza shukran zangu kwenu
 
UINJINIA
COMPUTER
UALIMU

????????
FANYA KILE MOYO UNAPENDA...ILA NAONA COMPUTER UNAIWEZEA....TAFUTA CONNECTION KWANZA
 
Upo vzur mkuu,

Ni takribani mwaka sasa tangu nianze kujifunza kwa practicle nimetengeneza website kwa kutumia HTML,CSS NA BOOSTRAP (static website) ambayo ni kushare na wanafunzi wangu UALIMU. malengo yangu ni kujiendeleza zaidi hasa katika cybersecurity .
lengo langu kwa sasa nomba ushauri nifanyeje niweze kujiendeleza katika field hii ya computer, pia naomba kama nitapata FREELANCE kokote au hata watu wa kuungana nao (code camp) kujifunza zaidi. ni muaminifu na napenda kujifunza kitu kipya kila siku.

natanguliza shukran zangu kwenu
 
Ivi kwani hakuna uinjinia wa computer? Au ufundi computer?
UINJINIA
COMPUTER
UALIMU

????????
FANYA KILE MOYO UNAPENDA...ILA NAONA COMPUTER UNAIWEZEA....TAFUTA CONNECTION KWANZA
 
Upo mkoa gani? Level gani ya elimu umefika? Na njia zipi? Yaan kupitia nacte au tcu?
 
nimesoma masomo ya sanaa advance, chuo nikachukua ualimu wa masomo ya sanaa (Shahada). upande wa komputa sijawahi kusoma shule/ chuo chochote, niko dar es salaam
 
Unataka kubomoka hilo bichwa mkuu,
Ingia darasani upate knowledge za uhakika kama ulivyoingia darasani kusomea umeme wa magari,
Naskia unapesa kwanini usirudi huko
 
mimi ni kijana (mid 20s). taaluma yangu ni mwalimu, nimeajiriwa (private). nilkua na ndoto za kuchukua fani za injinia tangu mdogo, ila mazingira ya o-level na uzembe binafsi ukaua ndoto hizo, nilipomaliza kidato cha nne kabla ya matokeo nilienda gereji za mtaani kujifunza umeme wa magari ,kwa kua hatukua wengi , niliweza ku-master kwa muda mfupi na nilianza kuingiza pesa. baada ya matokeo kutoka nilifaulu na ikanibidi niache ufundi nikaendelea hadi chuo nikamailiza (nikawa mwalimu).
kufupisha nikua lengo langu la upande wa sayansi bado nilikua nalo hivyo nikaona kitu ninachoweza kujifuza mwenyewe ni kozi za computer,
nilianza kwa kutumia youtube tuturials, e-books, open courseware za MIT, STANFORD, CODACADEMY. SOLO LEARN, GIDHUB na njia nyingine njingi vitu kama web development na programing mpaka sasa nimmejifunza PYTHON, HTML, CSS, BOOSTRAP , Django framework na PHP. pia kwa upande wa database, niko vizuri katika SQL kwa lugha ya POSTGRESQL.
Ni takribani mwaka sasa tangu nianze kujifunza kwa practicle nimetengeneza website kwa kutumia HTML,CSS NA BOOSTRAP (static website) ambayo ni kushare na wanafunzi wangu 👉UALIMU. malengo yangu ni kujiendeleza zaidi hasa katika cybersecurity .
lengo langu kwa sasa nomba ushauri nifanyeje niweze kujiendeleza katika field hii ya computer, pia naomba kama nitapata FREELANCE kokote au hata watu wa kuungana nao (code camp) kujifunza zaidi. ni muaminifu na napenda kujifunza kitu kipya kila siku.

natanguliza shukran zangu kwenu
Rudi kwenye taaluma ya garage mkuu. kuna hela ya uhakika huko mkuu.
tafuta wenzako muanzishe garage
 
Nenda Twitter search mtu account ya "Landry kapela". Atakusaidia upande programming apps zilizosokon for free
 
nimesoma masomo ya sanaa advance, chuo nikachukua ualimu wa masomo ya sanaa (Shahada). upande wa komputa sijawahi kusoma shule/ chuo chochote, niko dar es salaam
unaweza kuanzia diploma ya computer science pale IFM au Coet udsm
 
Back
Top Bottom