Naomba uniroge

yesse lambert

Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
30
Reaction score
4
πŸ™πŸ˜΅πŸ™„πŸ˜³πŸ˜±πŸ˜€πŸ˜‘
Raha ya nyumba mwanaume Wacha nikutunze Nyumba yetu tuipambee Hapo nyuma tulishindiaga mabwende, karanga na makande Ugali dona sembe Usinune kwa maneno ya majirani wanoko Hawaishi longo longo Ni maneno kama viroboto wanakesha wakiomba unichapage mkong'oto Jamanii sielewi Baby you are Ukimuona furaha Tele moyoni Nkimuona tabasamu usoni Γ—2
Naomba muniroge Naomba muniroge Kwani mapenzi matamu Γ—2

Sikusifii we mwanaume nguzo Ulishndaga vikwazo tangu mwanzo Ulipambna na wenye nazoo Ili niwe Mali yako Leo kula vyako You are my dreams in my life hata mie moyoni we ndio unanifaa Usinune kwa maneno ya majirani wanoko Hawaishi longo longo Ni maneno kama viroboto wanakesha wakiomba unichapage mkong'oto Jamanii sielewi Baby you are Ukimuona furaha Tele moyoni Nkimuona tabasamu usoni Γ—2

Naomba muniroge Naomba muniroge Γ—2
Kwani mapenzi matamu Γ—2
To the left to the right(spending my life... kwani mapenzi matamu) Ukimuona furaha Tele moyoni Nkimuona tabasamu usoni Γ—2
Naomba muniroge Naomba muniroge Γ—2
Kwani mapenzi matamu Γ—2

 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…