Hi....JF,kuna msichana ambaye nimefahamiana nae zaidi ya mwaka sasa,cha ajabu amekuwa akinitamkia anataka nimuoe,nimejarb kumueleza kuwa na mpenzi wangu lakini hanielewi amediriki kumwambia mama yangu,lakn alichijibiwa na mama kuwa maamuzi ni yangu na wala yeye hana nafasi katika moyo wangu,nashindwa nifanye nn ili aniache kwani nahsi atanivurugia uhusia nilionao kwa sasa
Achana naye tafuta mwingine umgegede 1 times tena wakati ukijiandaa kuoa!Hi....JF,kuna msichana ambaye nimefahamiana nae zaidi ya mwaka sasa,cha ajabu amekuwa akinitamkia anataka nimuoe,nimejarb kumueleza kuwa na mpenzi wangu lakini hanielewi amediriki kumwambia mama yangu,lakn alichijibiwa na mama kuwa maamuzi ni yangu na wala yeye hana nafasi katika moyo wangu,nashindwa nifanye nn ili aniache kwani nahsi atanivurugia uhusia nilionao kwa sasa
Ulijichanganya mwenyewe kwa kutokuwa mwaminifu kwa huyo wako unayempenda! Msalaba wako huo!Hi....JF,kuna msichana ambaye nimefahamiana nae zaidi ya mwaka sasa,cha ajabu amekuwa akinitamkia anataka nimuoe,nimejarb kumueleza kuwa na mpenzi wangu lakini hanielewi amediriki kumwambia mama yangu,lakn alichijibiwa na mama kuwa maamuzi ni yangu na wala yeye hana nafasi katika moyo wangu,nashindwa nifanye nn ili aniache kwani nahsi atanivurugia uhusia nilionao kwa sasa
yes 1 time kulinda hadhi ya kiume
best,jitahidi kusoma thread kwa makin sijaandika hapo swala kufahimaina kwenye JF,be serious meeeeen!Kwanza wewe ni muongo, Kama mlikutana hapa JF kamjuaje Mama Yako??? Eti kamweleza mama, kwa hiyo ulikuwa umejitahidi kumpeleka hadi nyumbani kwenu ili aamini kwamba utamuoa??? Kalaghabaho !
Hapa kuna uongo na ni wazi humpendi huyo uliye nae.Hi....JF,kuna msichana ambaye nimefahamiana nae zaidi ya mwaka sasa,cha ajabu amekuwa akinitamkia anataka nimuoe,nimejarb kumueleza kuwa na mpenzi wangu lakini hanielewi amediriki kumwambia mama yangu,lakn alichijibiwa na mama kuwa maamuzi ni yangu na wala yeye hana nafasi katika moyo wangu,nashindwa nifanye nn ili aniache kwani nahsi atanivurugia uhusia nilionao kwa sasa
best,jitahidi kusoma thread kwa makin sijaandika hapo swala kufahimaina kwenye JF,be serious meeeeen!
yes 1 time kulinda hadhi ya kiume
Hi....JF,kuna msichana ambaye nimefahamiana nae zaidi ya mwaka sasa,cha ajabu amekuwa akinitamkia anataka nimuoe,nimejarb kumueleza kuwa na mpenzi wangu lakini hanielewi amediriki kumwambia mama yangu,lakn alichijibiwa na mama kuwa maamuzi ni yangu na wala yeye hana nafasi katika moyo wangu,nashindwa nifanye nn ili aniache kwani nahsi atanivurugia uhusia nilionao kwa sasa
Hi....JF,kuna msichana ambaye nimefahamiana nae zaidi ya mwaka sasa,cha ajabu amekuwa akinitamkia anataka nimuoe,nimejarb kumueleza kuwa na mpenzi wangu lakini hanielewi amediriki kumwambia mama yangu,lakn alichijibiwa na mama kuwa maamuzi ni yangu na wala yeye hana nafasi katika moyo wangu,nashindwa nifanye nn ili aniache kwani nahsi atanivurugia uhusia nilionao kwa sasa
ngoja na yeye alinde hadhi ya kike,cozi hadhi ya mwanamke ndoa