thadey makusilo
Member
- Oct 31, 2013
- 46
- 11
yes 1 time kulinda hadhi ya kiumeSwali langu kwako ni je ulishamgegeda au bado?
yes 1 time kulinda hadhi ya kiume
yes 1 time kulinda hadhi ya kiume
yes 1 time kulinda hadhi ya kiume
yes 1 time kulinda hadhi ya kiume
yes 1 time kulinda hadhi ya kiume
Kwa hiyo wewe kila rafiki unagegeda,sasa umechuma majani yasiyoliwa!!!! Akugande hasa mpaka akili ikae sawa ili siku nyingine kabla hujafungua zipu kulinda hadhi ya kiume ufikirie kwanza athari yake kwa mahusiano uliyonayo!
yes 1 time kulinda hadhi ya kiume
huyu wale wale wa gia yao moja tu nitakuoaAcha kujisifia ujinga wakati umekuja kuomba ushauri hapa alaaaa..!
Okey hebu kuwa mkweli ushawishi wako ulikuwa nini mpaka binti akakuvulia pichu?
Nauliza hivi kwa sababu nyie vijana mnatabia za kutangaza uchumba ili upewe nyapu sasa isije ikawa ulitangaza kuoa ama ulijinasibu kwamba wampenda sanaaaaa na mambo kama hayo maana kumbuka na yeye si mjinga mpaka akung'ang'anie kiasi hicho bila shaka kuna dalili ulimwonyesha
Halafu nilikuwa najiuliza ilikuwaje akamjua mama yako? Maana kama ni mtu ambaye hukuwa na future nae sidhani kama kulikuwa na haja ya yeye kujua wazazi wako au kuwa na ukaribu na wazazi wako mpaka afikie pahala pa kumshawishi mzazi wako kwamba umwoe
ACHA KUCHEZA NA ROHO ZA WATU AISE
FUNUA FUNUA ndo asili yetu unafikiri hata wewe ukinipa nitakataa?mmh eti kulinda hadhi ya kiume...........wakati unamgegeda hukujua una mahusiano
yes 1 time kulinda hadhi ya kiume
FUNUA FUNUA ndo asili yetu unafikiri hata wewe ukinipa nitakataa?