Aaah!! Nilikua nimesahau Kuna wale ombaomba pia hawataki kujishughulisha na kazi yeyote wanakuja kuomba huku ten ten na twenty twentyUmtaadharishe pia na ongezeko kubwa la ombaomba wa JF
Karibu sana mkuuShukran mkuu ni nafurahi kujumuika nanyi
Au sio? 😹Aisee, hivi ni kwa nini muwe mnakisia mtu fulani kupitia ID fulani?
Hahaha unawajua kwa majinaAaah!! Nilikua nimesahau Kuna wale ombaomba pia hawataki kujishughulisha na kazi yeyote wanakuja kuomba huku ten ten na twenty twenty
Aisee.....You can also call me king of hearts ♥️
Nina furaha kujiunga rasmi katika hili jukwaa, baada ya kuwa msomaji kwa muda mrefu.
Ni matumaini yangu uamuzi huu utakuwa na manufaa
Asanteni 🙏
😃😃😃Sitaki ugomvi na mtu humuHahaha unawajua kwa majina
Ifike hatua wewe na huyu jamaa muyamalize tu ?Mnamkaribisha Chiwawa 😹