Karibu sana mkuu, we ni me au ke
Tujuane mapema, turukeKaribu sana mkuu, we ni me au ke?
Ok! pia unatakiwa UTUBU na kuiamini injili mkuu, humu tuko serious na wokovu!!!Mimi ni Me
Indeed... wengine bado tunatafuta ubavu wetu...Tujuane mapema, turuke
Hahahaha mkuu yamekuwa haya tena.Welcome,Dogo huku ni full kuheshimu ma braza na masisteriView attachment 3685775
Tunajua ni yeye, mods waunganishe tena hizi ID zake.Mnamkaribisha Chiwawa ๐น
Indeed. umenena vyema mkuuImani ni kitu cha hiari mkuu. Naamini sitakuwa judged kwa imani yangu bali kwa matendo yangu.
mkuu kuwa makini sanaJamani mbona imekuwa hivi ndugu zangu?
Je chiwawa ina maana gani?
Hahahhhh maexpert na maplatinum members kwenye ubora wao...Welcome,Dogo huku ni full kuheshimu ma braza na masisteriView attachment 3685775
Kimbwa chenye sura mbaya, kelele nyingi na fujo.Jamani mbona imekuwa hivi ndugu zangu?
Je chiwawa ina maana gani?
Hahahhhh maexpert na mapltatinum kwenye ubora wao...
Utawadanganya wote humu lakini sio mimi..!! ๐นChiwawa ndiye nani mkuu?
Ni suala la muda kabla hajaanza kuyabananga..!!Tunajua ni yeye, mods waunganishe tena hizi ID zake.
Mbona majasusi wanasema hii ni I'd nyingine ya yule kijana wetu ๐Majukwaa mengine utakua huyatembelei?
Hebu niweke wazi,umejiunga JF au umejiunga kwenye hili jukwaa peke yake?
Karibu sana Kijana.
Yule kijana anayependa kutumia maneno ya Ego na Insecurity?Mbona majasusi wanasema hii ni I'd nyingine ya yule kijana wetu ๐