Easymutant R I P Joined Jun 3, 2010 Posts 2,564 Reaction score 1,135 Nov 2, 2011 #1 [h=6]NAOMBA MNISAIDIE WATU WANGU JE ;TANZANIA KUNA VIONGOZ WANGAP WALIO NA AKILI TIMAMU[/h] Nimefanya kucopy na kupaste tu.....
[h=6]NAOMBA MNISAIDIE WATU WANGU JE ;TANZANIA KUNA VIONGOZ WANGAP WALIO NA AKILI TIMAMU[/h] Nimefanya kucopy na kupaste tu.....
Azimio Jipya JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 3,363 Reaction score 1,135 Nov 2, 2011 #2 ... Despite the old saying, 'Don't take your troubles to bed', many men still sleep with their wives!! ... Baada ya kusema hayo tusubiri Wenye Fikra KUBWA zaidi waje watoe mitizamo mikubwa!!
... Despite the old saying, 'Don't take your troubles to bed', many men still sleep with their wives!! ... Baada ya kusema hayo tusubiri Wenye Fikra KUBWA zaidi waje watoe mitizamo mikubwa!!
D dotto JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 1,725 Reaction score 257 Nov 2, 2011 #3 Mmh mhm da! wachache lakini hawapewi nafasi hiyo katika maamuzi!
A ARKADI MAKONA Member Joined Jun 25, 2011 Posts 14 Reaction score 2 Nov 2, 2011 #4 Is it possible tukatumia demokrasia yetu kuchagua viongozi wasio na akili timamu?? Kama ndivyo basi sote hatuna akili timamu
Is it possible tukatumia demokrasia yetu kuchagua viongozi wasio na akili timamu?? Kama ndivyo basi sote hatuna akili timamu
M Mat.E Member Joined Dec 28, 2010 Posts 66 Reaction score 13 Nov 2, 2011 #5 wote wanazo akili timamu, isipokuwa wanajua wafanyayo.NI MIRADI YAO!
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,653 Nov 3, 2011 #6 wenye akili timamu wako kwenye utendaji, kisiasa, mhhhhh hakuna mkuu kuanzia jemedari wao mpaka chini na vizazi vyao vyote
wenye akili timamu wako kwenye utendaji, kisiasa, mhhhhh hakuna mkuu kuanzia jemedari wao mpaka chini na vizazi vyao vyote