Naomba ufafanuzi.

Naomba ufafanuzi.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,354
Hivi ikitokea ulikua na mpenzi wako{wakike} tangu chuo,baada ya kumaliza masomo,mdada anatangulia kupata job kabla yako,then wewe mkaka unakaa kitaa hata 3yrs bila kazi,hivi huyo mwanamke hatakuacha au kukudharau kweli?
 
mwana utabwagwa tuu hapo...wanawake ndio walivyo kaka...hina kazi huna hela justaili kumiliki demu....kwanza marafiki wataanza mwambia ah janaumw gani suluali...ebu usiturie aibu bibi wee!!!
 
Kwa kweli hali kama hii ndio perfect kweny kutest uhusiano....kwa sababu kwa vyovyote itakavyokua matokeo ya mwisho ndo husema uhusiano ulikuwaje.

i) Kama mwishoni bado uhusiano upo then u've got urself a gud girl there.
ii) Kama mwishoni utaachwa then ndivyo uhusiano ulivyokuwa shalow...so why bother?

Cha msingi hapo we usicomplicate mambo yaache yaflow naturaly then you'll know.
Yani usiombee kuwa na hela halafu hujui kama unachopendewa ni nn kati ya utu wako au pesa zako...Its realy a devarstation to know kwamba she never cared for you but your money na kisha alikuwa anachukua your money kwenda kuhongea wanaume wengine.
 
Tulia na endelea na maisha,ikija kutokea itakuwa ni changamoto kwako katika maisha,si sahihi sana kuishi kwa hisia kuwa jambo fulani litatokea,inawezekana mwenzi wako akakuvumilia kwa muda wote ambao huna kazi.
Jiamini na mwamini mwenzio.
 
Unajua nini PetCash kuna hali fulani ambayo mabinti wanaipitia au kwa kutumia mifano mingine inawawia ngumu. Swali kubwa huwa ni 'what if namsubiri na kutolea nje offer zingine halafu mwenzangu aje kuoa mwingine?'.

Hii huwapata wengi japo wanakuwa na mapenzi na watu wao lkn kwa hofu ya kulizwa huishia kuolewa na any available man hata kama hajampenda kama aliyemuacha. A bird in hand is worth ten in bush!

Ktk situation kama hiyo, engagement pekee kwa maisha ya kimjini mjini haitoshi kumfunga mtu; kama wanapendana wafunge ndoa ya serikalini na baadaye mambo yakiwa mazuri ndipo mahari na ndoa ya kidini ije kufungwa. Otherwise ni kama ulivyomshauri; ila inauma sana watu wanapendana lkn mazingira yanawabania.

Kwa kweli hali kama hii ndio perfect kweny kutest uhusiano....kwa sababu kwa vyovyote itakavyokua matokeo ya mwisho ndo husema uhusiano ulikuwaje.

i) Kama mwishoni bado uhusiano upo then u've got urself a gud girl there.
ii) Kama mwishoni utaachwa then ndivyo uhusiano ulivyokuwa shalow...so why bother?

Cha msingi hapo we usicomplicate mambo yaache yaflow naturaly then you'll know.
Yani usiombee kuwa na hela halafu hujui kama unachopendewa ni nn kati ya utu wako au pesa zako...Its realy a devarstation to know kwamba she never cared for you but your money na kisha alikuwa anachukua your money kwenda kuhongea wanaume wengine.
 
Last edited by a moderator:
Hivi ikitokea ulikua na mpenzi wako{wakike} tangu chuo,baada ya kumaliza masomo,mdada anatangulia kupata job kabla yako,then wewe mkaka unakaa kitaa hata 3yrs bila kazi,hivi huyo mwanamke hatakuacha au kukudharau kweli?

palipo na mapenzi ya dhati hamna kitu kama hicho atakuvumilia tu. but kumbuka kila kitu kinatokea kwa sababu chini ya jua, akikuacha ujue hakuwa wako so usubiri uliendikiwa na Mungu.
 
Unajua nini PetCash kuna hali fulani ambayo mabinti wanaipitia au kwa kutumia mifano mingine inawawia ngumu. Swali kubwa huwa ni 'what if namsubiri na kutolea nje offer zingine halafu mwenzangu aje kuoa mwingine?'.

Hii huwapata wengi japo wanakuwa na mapenzi na watu wao lkn kwa hofu ya kulizwa huishia kuolewa na any available man hata kama hajampenda kama aliyemuacha. A bird in hand is worth ten in bush!

Ktk situation kama hiyo, engagement pekee kwa maisha ya kimjini mjini haitoshi kumfunga mtu; kama wanapendana wafunge ndoa ya serikalini na baadaye mambo yakiwa mazuri ndipo mahari na ndoa ya kidini ije kufungwa. Otherwise ni kama ulivyomshauri; ila inauma sana watu wanapendana lkn mazingira yanawabania.

ni bora wasikimbilie kufunga ndoa ikiwa hawajajipanga bado kwa sababu wanaweza kujilaumu badae. waache tu mambo yaje natural kama alivosema PetCash.
 
Unajua nini PetCash kuna hali fulani ambayo mabinti wanaipitia au kwa kutumia mifano mingine inawawia ngumu. Swali kubwa huwa ni 'what if namsubiri na kutolea nje offer zingine halafu mwenzangu aje kuoa mwingine?'.

Hii huwapata wengi japo wanakuwa na mapenzi na watu wao lkn kwa hofu ya kulizwa huishia kuolewa na any available man hata kama hajampenda kama aliyemuacha. A bird in hand is worth ten in bush!

Ktk situation kama hiyo, engagement pekee kwa maisha ya kimjini mjini haitoshi kumfunga mtu; kama wanapendana wafunge ndoa ya serikalini na baadaye mambo yakiwa mazuri ndipo mahari na ndoa ya kidini ije kufungwa. Otherwise ni kama ulivyomshauri; ila inauma sana watu wanapendana lkn mazingira yanawabania.

Dada Kaunga, kama maisha yalivyo mapenzi nayo ni inverstment.
Kwa kuwa ni inverstment then yana risk. It's all about risk. Ni wapenzi wangapi wanaume wanawasomesha wadada wakitegemea kuwaoa? Better yet vyuoni kuna wachumba wa watu wangapi? Huko kuna wanaume/wanawake wa kila namna na they get close ever more than you and your fiance...Ila haituzuii kusomesha wachumba zetu.

Ila dada zetu kwenye hili suala la imani ni kazi kwelikweli! Hata kama jamaa anakazi anaweza kumsaliti vilevile. Mi naona labda suala ni mwanamke kutake care of her man ndo shida.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli hali kama hii ndio perfect kweny kutest uhusiano....kwa sababu kwa vyovyote itakavyokua matokeo ya mwisho ndo husema uhusiano ulikuwaje.

i) Kama mwishoni bado uhusiano upo then u've got urself a gud girl there.
ii) Kama mwishoni utaachwa then ndivyo uhusiano ulivyokuwa shalow...so why bother?

Cha msingi hapo we usicomplicate mambo yaache yaflow naturaly then you'll know.
Yani usiombee kuwa na hela halafu hujui kama unachopendewa ni nn kati ya utu wako au pesa zako...Its realy a devarstation to know kwamba she never cared for you but your money na kisha alikuwa anachukua your money kwenda kuhongea wanaume wengine.

Nimeipenda,mm ishanitokea nikaachwa baada ya muda nikapata kazi tena yenye hela nzuri.nimeoa sasa sijui huyu kanipendea hela au maana nilishindwa kabisa kupima.[Ngaliba]
 
Its complicated bro only God will help keep on looking for a job or any income, don't depend on your professional job. practically Mwanaume lazima uwe na pesa
 
Inategemea ntu na ntu na mapenzi yenu yapo vp
 
Ktk situation kama hiyo, engagement pekee kwa maisha ya kimjini mjini haitoshi kumfunga mtu; kama wanapendana wafunge ndoa ya serikalini na baadaye mambo yakiwa mazuri ndipo mahari na ndoa ya kidini ije kufungwa. Otherwise ni kama ulivyomshauri; ila inauma sana watu wanapendana lkn mazingira yanawabania.
Hapa ndipo mtu anapoweza kuathirika kisaikolojia na tatizo hili linaweza kumganda kwa miaka mingi sana kichwani kwake, ndio maana kuna msemo wa Life in not fair at all.
 
Not fair at all
Kuna nyingine; "unayempenda hakupendi na anayechangayikiwa na wewe humpendi".

Au unapendana na wrong person or rather unavaillable person.
 
Inategemeana,kama kweli anakupenda atavumilia kama hakupendi atakuacha tu.
 
Mapenzi sio pesa, lakini penzi la ufukara halina thamani hata mbele ya macho ya watu !!!
 
Muamini mpenzi wako-kubwagwa kupo hata kama una mijihela nyumba nzima.Usiwaze waze bila mpango.Waza na kinyume chake ingekuaje pia.
 
Back
Top Bottom