Naomba ufafanuzi wa kozi ya Radiography

Naomba ufafanuzi wa kozi ya Radiography

Theo Galavan

Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
30
Reaction score
13
Habarin za saa hiz wakuu.

Ningependa niende direct kwenye mada, dogo langu amechaguliwa kozi ya radiography katika chuo cha Bugando...ningependa kujua kwa mwenye ufahamu na uelewa juu ya hiyo coz tafadhali.
 
Watu wakusoma mionzi ya kimatibabu katika hospitali utawakuta katika idara ya x ray katika mahospitali
 
Umeshajibiwa hapo ili daktari ajiridhishe ugonjwa anaodhani mteja wake anao au ajue zaidi yeye kumsibu mgonjwa wake anaamua kumuhusisha mtu wa mionzi

Xray Utral sound nk kasome ni Dani nzuri yenye watu wachache
 
Back
Top Bottom