Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Lucid Air

Abbyarico

Member
Aug 5, 2021
50
42
Msaada kwa anae ijua hii gari vizuri kuanzia.

Bei na matumizi yake pia unyonyaji wake wa mafuta please #lucidair

1630468823050.png
 
Kama upo serious sawa lakini kama unatania, sio jukwaa ili.

Ok, Lucid Air gari la umeme kwanza. Electrical Vehicle (EV) kama ilivyo Tesla mfano.

Concept (prototype) ya kwanza ilitolewa 2016/17 na kadhaa zimetolewa hadi sasa wameshaanza production watakazo anza kuuza mwaka 2022.

So Kwa ufupi subiri mwakani, na zitakua na modela tofauti tofauti kuna Air ambayo ni sedan, kuna Air Pure, Air Touring, Air GT, na Air Dream Edition.

images (36).jpeg
 
View attachment 1918782
Pesa imelala hapo 🥸🥸
 
Huyo jamaa anatania Tu
 
Back
Top Bottom